John Mrema CCM hatukutaki kimbilia NCCR ukapigwe vumbi

John Mrema CCM hatukutaki kimbilia NCCR ukapigwe vumbi

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
7,681
Reaction score
9,575
Kama ulikua Una wazo la kuja Veggies Sisi kwenye list yetu tumeshajaza vijana jobless wenye matarajio ya vyeo vya ulaji. Nakusihi wahi NCCR kama Selasini. ACT usijaribu maana sio mvaa kobazi
 
CCm nao kuna kipindi sijui tunalogwa, hivi kweli kama lijua kali ni DC, sembuse mrema, huyu akija utasikia ni RC Chato,
stay tuned
 
Kama ulikua Una wazo la kuja Veggies Sisi kwenye list yetu tumeshajaza vijana jobless wenye matarajio ya vyeo vya ulaji. Nakusihi wahi NCCR kama Selasini. ACT usijaribu maana sio mvaa kobazi
pesa ya pombe atatoa wapi sana ndugu yetu chapombe yule. hadi mdomo akiongea unaona umeathirika kwa pombe kali, sura na macho yameathirika. mshaurini amrudie Bwana ili asiwe chawa mvurugaji.
 
Kama ulikua Una wazo la kuja Veggies Sisi kwenye list yetu tumeshajaza vijana jobless wenye matarajio ya vyeo vya ulaji. Nakusihi wahi NCCR kama Selasini. ACT usijaribu maana sio mvaa kobazi
Nani aliwahi kujibiwa Waraka? Paulo mwenyewe aliandika kwa Wagalatia mpaka Leo hajawahi kujibiwa 😂😂😂😂, waulizeni Wakorintho au Waebrania 😂😂
1744120046674.jpg
 
Nani aliwahi kujibiwa Waraka? Paulo mwenyewe aliandika kwa Wagalatia mpaka Leo hajawahi kujibiwa 😂😂😂😂, waulizeni Wakorintho au Waebrania 😂😂View attachment 3296986
ila kati ya vitu vigumu na vya kujitoa mhanga, ni pale mtu anapoamua kuwa msaliti na kusambaza uongo akijua kuwa anachoongea ni uongo na utapeli. ni kazi ngumu sana, hata sura zao hua zinawasuta, na wanaamini wanawapendezesha watu fulani, kwa maslahi ya ubinafsi ambayo hakuna aliyewahi kumaliza siku bila kuyajutia.
 
Back
Top Bottom