Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 3,141 Reaction score 7,205 Aug 5, 2025 #1 Aliyekua Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, John John Nchimbi ameongoza kura za maoni Jimbo la Nyasa baada ya kupata kura 9,157 kati ya kura 10,695 zilizopigwa akifuatiwa kwa mbali na aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo Stellah Manyanya aliyepata kura (548). Your browser is not able to display this video.
Aliyekua Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, John John Nchimbi ameongoza kura za maoni Jimbo la Nyasa baada ya kupata kura 9,157 kati ya kura 10,695 zilizopigwa akifuatiwa kwa mbali na aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo Stellah Manyanya aliyepata kura (548). Your browser is not able to display this video.
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 22,981 Reaction score 47,826 Aug 5, 2025 #2 Huyo jamaa ni mchapakazi kweli Mbeya kaweza kuwanyoosha..
LIMBOMAMBOMA JF-Expert Member Joined Oct 3, 2017 Posts 11,788 Reaction score 15,406 Aug 5, 2025 #3 Mtoa posho mkuu🤣🤣
MawardatDellapina JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 30,232 Reaction score 152,252 Aug 5, 2025 #4 Safi sana, huyo manyanya apumzike tu,
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Aug 5, 2025 #5 Sawa sawa