TANZIA John Nyerere afariki dunia

TANZIA John Nyerere afariki dunia

john alikuwa kipenzi cha watoto hivyo nami nilikuwa mtoto kipindi hicho. Karate ni kwa ajili ya kujilinda maana alikuwa anazijua.

khahahaaa..!
Umekwepa jibu umetoa la ziada!!
Lebanon kati√√
 
nakubaliana na wewe huu ni wakati wa kumuombea marehemu apumzike kwa amani na kuwatakia wafiwa wapate nguvu na utulivu kwa kuondokewa na ndugu yao.

Mambo ya usalama hayanihusu kama wanafanya kazi yao vizuri au la ila nachojua taifa liko salama. Tusiwape lawama maana hawana uwezo kisheria kumfunga mtu jela na polisi nao pia hawana uwezo huo.

c.c
lebanon block/tis..east gate...##√√√
 
1.Andrew aka Ganesh 2.Anna 3.Emil Magige 4.John Guido 5.Charles Makongoro 6.Madaraka 7. Rosemary

Asante mkuu ina maana Magige bado yuko hai? Hapo ndo nimeshindwa kuelewa!
 
RATIBA YA MAZISHI

11218535_1065276463515368_6775843336512635978_n.jpg
 
Bwana alitoa na sasa ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe.
 
John Nyerere, mtoto wa nne wa Mwalimu Julius Nyerere, amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya rufaa ya Muhimbili.
Poleni sana wafiwa. Mwenyezi Mungu aonaye sirini awaguse mioyo yenu katika kipndi hiki cha sononeko na majonzi. Bwana alitoa Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe
 
Pasco umenisaidia kuunganisha majina. Kabla nilidhani John na Magige ni watu wawili tofauti.

Poleni kwa msiba familia ya Mwalimu

John Nyerere ni mtoto wa nne, Magige Nyerere ni mtoto wa tatu Haya mambo yote yatakuwa clarified in the next few days.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom