kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,746
alipelekwa kwa malipo ya CCM chini ya mkapa.Nyerere mwenyewe alifia London! Na alikuwa mjamaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alipelekwa kwa malipo ya CCM chini ya mkapa.Nyerere mwenyewe alifia London! Na alikuwa mjamaa!
Kadoda upo vyema!!!pole kwa msiba,ila naomba kuuliza,ilikuwa kuwaje ukawa na namba ya yericko kwenye phonebook yako/file lako ili hali ulishawahi kukataa kwamba huyo mtu siyo ndugu yenu wa damu?.
pole nyingi sana wafiwa , ukiacha makosa ya kibinadamu , hakika Nyerere alikuwa mzalendo halisi , mpaka leo familia yake inatibiwa Muhimbili , bali mafisadi wengi wa chama alichokianzisha hutibiwa INDIA , ULAYA NA AMERICA .
mkuu huyu hapa hebu tumchambue##mdau hembu kama unayo picha ya yericko nyerere uiweke hapa tuichanganue wengine hatumjui kwa sura .
Vincent Nyerere siyo mtoto wa Julius Kambarage Nyerere, ni sawa na kusema tapeli Yericko Nyerere naye mtoto wa Julius Kambarage Nyerere.mbona umesahau mtoto mwingine vicety nyerere mbunge wa musoma mjini