TANZIA John Nyerere afariki dunia

TANZIA John Nyerere afariki dunia

Vincent Nyerere siyo mtoto wa Julius Kambarage Nyerere, ni sawa na kusema tapeli Yericko Nyerere naye mtoto wa Julius Kambarage Nyerere.

Wewe nawe mtu kauliza badala kumpa jibu la moja kwa moja unamrukia Yericko,unapata shida gani kumjibu Vincent Nyerere ni mtoto wa Kiboko Nyerere (mdogo wake Julius Nyerere)
 
Last edited by a moderator:
Watanzania wengi hawawajui vizuri watoto wa mwalimu, anayejulikana zaidi ni Makongoro tu!! Hii familia ililelewa kwa misingi ya Usawa!!

Naambiwa na mdau mmoja kwamba enzi hizi alisoma na Madaraka pale Tambaza, alikuwa anakuja na baskeli yake toka kwao msasani hadi shule wakati watoto wa mawaziri wengine wakiletewa na kombi.

Mwalimu alikuwa ni mjamaa kweli kweli aliyeamini usawa kwa binadamu wotei!!
 
Swali ni je kanisa katoliki litakubali kumzika sababu alikuwa akisali pale riverside kwa father Nkwera ambaye kanisa katoliki halitaki hata kumsikia.

But may his soul rest in peace.
Kuzika ni kusitiri mwili usinuke. Kanisa halichimbi kaburi, halitengezi jeneza na halinunui sanda... La maana ni kukusanya sadaka kutoka kwenu wafiwa, bila kuacha hata kumi ya rambirambi.

Siku tukigutuka kuwa hii ni turufu ya kutunza wateja ambayo Kanisa ovu kuliko yote linaitumia... Leo wanaweza wasimzike Bani Nyerere ili na wewe kesho uongope kwenda kwa Nkwera, Wa Upako, Wa Ufufuo, msikitini au kuwa Mwafrika wa Matambiko kama mimi.

Amkeni watu wa Mungu!
 
kwahiyo unataka kuniambia, yeriko nyerere hana uhusiano wowote na familia au ukoo wa baba wa taifa hili? just curious, nataka kumfahamu yule dogo, ni mdadisi na msumbufu sana huwezi linganisha na umri wake. nilikuwa nasoma post zake sana ikabidi nimsome sana facebook na jf na kuangalia picha zake ni kitoto kidogo ajabu.
Ni sawa tu na wewe unavyojiita AZUSA STREET.
 

quote_icon.png
By kerai
Swali ni je kanisa katoriki litakubali kumzika sababu alikuwa akisali pale riverside kwa father Nkwera ambaye kanisa katoliki halitaki hata kumsikia.
But may his soul rest in peace.



Labda tukuulize wewe kwa nini unaona Kanisa Katoliki linahusika badala ya Father NKwera kwenye mazishi yake.

Subiri Nkwera atakuja kuongoza mazishi, maana huyo ni mtu mzima alijua anachokifanya. IDAWA​ uko sahi hi kabisa!!!!!!!!!!!


 
Nakumbuka story za John tangu akiwa mwanafunzi wa Mkwawa sekondari. Alikuwa toto tundu na kumlazimisha JK akampigie magoti mwalimu mkuu kuepusha mwanae John asifukuzwe shule.

Likawa somo kubwa sana kwa viongozi kwamba heshima kwa taratibu za shule iheshimiwe. Mwalimu mkuu alipandishwa cheo kwa kumfukuza John badala ya mategemeo ya wengi kwamba rais angemfukuza.

Siku hizi watoto wa wakubwa hawaguswi kuepusha zari kwa wakuu wa shule hizo kuchomekewa kila aina ya adha. Very intelligent John alikuwa kioo cha wanafunzi wenye kupenda kujifunza kwa matukio ya John na usomaji wake.

RIP John.

Mkuu ya kweli haya? kama ni kweli jamaa alikuwa wa bara lingine hakupaswa kuzaliwa bongo leo hii mfukuze mtoto wa diwani uone zengwe lake.
 
Mkuu ya kweli haya? kama ni kweli jamaa alikuwa wa bara lingine hakupaswa kuzaliwa bongo leo hii mfukuze mtoto wa diwani uone zengwe lake.
Hata Makongoro alilazimika kwenda Tabora kurudia darasa la saba pale Isike S/M baada ya baba yake kugundua kwamba alichaguliwa kuingia kidato cha kwanza wakati kuna wanafunzi waliokuwa na alama nzuri kuliko za Makongoro walioachwa. Alisoma Isike akikaa kwa mkuu wa mkoa aliyekuwa ADC wa Mwalimu kabla ya kupewa ukuu wa mkoa.

Huyo ndiye alikuwa Mwalimu, full haki.
 
Back
Top Bottom