Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole kwa familia ya Mama Maria Nyerere
Vincent Nyerere siyo mtoto wa Julius Kambarage Nyerere, ni sawa na kusema tapeli Yericko Nyerere naye mtoto wa Julius Kambarage Nyerere.
mbona umesahau mtoto mwingine vicety nyerere mbunge wa musoma mjini
unafiki ndio msingi wa uwepo wako humuVincent Nyerere siyo mtoto wa Julius Kambarage Nyerere, ni sawa na kusema tapeli Yericko Nyerere naye mtoto wa Julius Kambarage Nyerere.
Magige jina la ukoo.
Ni mtoto wa Kiboko Nyerere.Julius Kambarage Nyerere ni baba yake mkubwa.
Kuzika ni kusitiri mwili usinuke. Kanisa halichimbi kaburi, halitengezi jeneza na halinunui sanda... La maana ni kukusanya sadaka kutoka kwenu wafiwa, bila kuacha hata kumi ya rambirambi.Swali ni je kanisa katoliki litakubali kumzika sababu alikuwa akisali pale riverside kwa father Nkwera ambaye kanisa katoliki halitaki hata kumsikia.
But may his soul rest in peace.
Ni sawa tu na wewe unavyojiita AZUSA STREET.kwahiyo unataka kuniambia, yeriko nyerere hana uhusiano wowote na familia au ukoo wa baba wa taifa hili? just curious, nataka kumfahamu yule dogo, ni mdadisi na msumbufu sana huwezi linganisha na umri wake. nilikuwa nasoma post zake sana ikabidi nimsome sana facebook na jf na kuangalia picha zake ni kitoto kidogo ajabu.

Nakumbuka story za John tangu akiwa mwanafunzi wa Mkwawa sekondari. Alikuwa toto tundu na kumlazimisha JK akampigie magoti mwalimu mkuu kuepusha mwanae John asifukuzwe shule.
Likawa somo kubwa sana kwa viongozi kwamba heshima kwa taratibu za shule iheshimiwe. Mwalimu mkuu alipandishwa cheo kwa kumfukuza John badala ya mategemeo ya wengi kwamba rais angemfukuza.
Siku hizi watoto wa wakubwa hawaguswi kuepusha zari kwa wakuu wa shule hizo kuchomekewa kila aina ya adha. Very intelligent John alikuwa kioo cha wanafunzi wenye kupenda kujifunza kwa matukio ya John na usomaji wake.
RIP John.
Hata Makongoro alilazimika kwenda Tabora kurudia darasa la saba pale Isike S/M baada ya baba yake kugundua kwamba alichaguliwa kuingia kidato cha kwanza wakati kuna wanafunzi waliokuwa na alama nzuri kuliko za Makongoro walioachwa. Alisoma Isike akikaa kwa mkuu wa mkoa aliyekuwa ADC wa Mwalimu kabla ya kupewa ukuu wa mkoa.Mkuu ya kweli haya? kama ni kweli jamaa alikuwa wa bara lingine hakupaswa kuzaliwa bongo leo hii mfukuze mtoto wa diwani uone zengwe lake.