William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
CHADEMA wapo kuvunja vunja hoja, umoja na Malengo ya upinzani.
Wao ni kuponda, kukebei, na kutukana kila anayeshindwa kufanya jambo kama wao wanavyotaka au aliyekosea.
1. CHADEMA wao Wote walifurushwa bungeni kwa nguvu ya dola je nani aliwabeza hahaha.
2. Wabunge wenu Akina mdee mpaka leo wako bungeni. Licha ya maongezi mengi ya Mbowe na Raisi. Je halikuwemo kwenye makubaliano yake?
Sioni yehemu yoyote dira ambayo viongozi wa chadema na sera wanazoamini wakiwafunda wanachama wao zaidi ya kutwa kusubiri kasoro waanze kulalamika.
Mazao yote ya biashara bei hupanda wakati wa uchaguzi.
Kagera walikata Kahawa sababu ya soko duni.
Kahawa ilikuwa buku Bukoba uganda 5000 kilo. Je wangeondoa vipi hayo mambo kisera. Sasa Kagera vijijjini ni umasikini wa kutupwa tanzania hii. Pamoja na hali nzuri ya hewa vijana wanapakimbia kuja kuwa Malaya au vibarua mjini au visiwani.
Kilichofanya nchi nyingi za kiafrika kuchelewa kupata Uhueru ni.
1. Lack of unity
2. Lack of Strong Leadership
3. Lack of fund.
4. Lack of strong Ideology toward Freedom.
Sioni ubora wa Chadema kwenye kujenga sera. Mnaweza kupata mvuto bila kubeza mtu, kutukana au kusimangana.
Sio wafanyakazi, Wakulima, Vijana wa mtaani na wasomi waliokosa ajira na kuwa machawa, wafanyabiashara na wachimbaji migodini. Wana kero nyingi mno.
Kama kiongozi kwanza fanyeni tafiti za kina za vyanzo vya matatizo, njia ya kuyakabiri, Jinsi ya kuunganisha makundi yote wawe kitu kimoja. Sio kuwagawa.
Leo wakulima wakilia bei mbovu ya mazao wafanyakazi wanawacheka kuwa ata wao mishahara, Pensheni na vyama vyao vinawaumiza.
MMfanyakazi akilia kikokotoo kibovu mfanyabiashara na mkulima wanaona akishugulikiwa atafaidi bora wateseke kama wao.
Andaeni sera wazi, Unganisheni nguvu. onesheni Jinsi maslahi ya Mfanyakaz yatakavyoinua biashara. Au bei nzuri za mazao zitakavyojenga uchumi vijijini. Na uchumi mzuri vijijini ni maisha mazuri kwa watumishi wa uma uko.
Pia itachochea kilimo na Pato la taifa na Ajira serikalini na Secta binafsi.
Nipe mawasiliano tuandae sera bora ata msiposhinda iwasaidie watakaoshinda kubadili nchi.
Kikubwa muache kukoment vitu kwa hisia. Tuwe focus na Sera na kero zisiwe msingi wa chama.
Chama cha kisiasa uongozwa na sera. Na vvyma vya Kigaidi uongozwa na itikadi na harakati.