Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tulia TUCTA wale hela zenu wajinga nyieToa tafsiri ya ujinga specifically tukianzia kwako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia TUCTA wale hela zenu wajinga nyieToa tafsiri ya ujinga specifically tukianzia kwako.
Sijui hata yuko wapi mkuuMkuu ivi mpwayungu village yupo kweli ? Angekununulia soda kwa mangi 😂😂😂
99%95% ya walimu wa Tanzania ni wajinga sn
Sure
Naona umeandika jambo lisilo na hoja, umeandika Chadema wamekutukana! Sisi hatukuwepo unatakiwa utueleze hayo matusi yalitokea wapi na kisa na ni matusi yapi. Kuhusu akina Mdee nakushauri kubaliana na uamuzi wa mahakama, Chadema haihusiki na uwepo wao bungeni kwani mahakama ilithibitisha uhalali wa Chadema kuwafukuza.CHADEMA wapo kuvunja vunja hoja, umoja na Malengo ya upinzani.
Wao ni kuponda, kukebei, na kutukana kila anayeshindwa kufanya jambo kama wao wanavyotaka au aliyekosea.
1. CHADEMA wao Wote walifurushwa bungeni kwa nguvu ya dola je nani aliwabeza hahaha.
2. Wabunge wenu Akina mdee mpaka leo wako bungeni. Licha ya maongezi mengi ya Mbowe na Raisi. Je halikuwemo kwenye makubaliano yake?
Sioni yehemu yoyote dira ambayo viongozi wa chadema na sera wanazoamini wakiwafunda wanachama wao zaidi ya kutwa kusubiri kasoro waanze kulalamika.
Mazao yote ya biashara bei hupanda wakati wa uchaguzi.
Kagera walikata Kahawa sababu ya soko duni.
Kahawa ilikuwa buku Bukoba uganda 5000 kilo. Je wangeondoa vipi hayo mambo kisera. Sasa Kagera vijijjini ni umasikini wa kutupwa tanzania hii. Pamoja na hali nzuri ya hewa vijana wanapakimbia kuja kuwa Malaya au vibarua mjini au visiwani.
Kilichofanya nchi nyingi za kiafrika kuchelewa kupata Uhueru ni.
1. Lack of unity
2. Lack of Strong Leadership
3. Lack of fund.
4. Lack of strong Ideology toward Freedom.
Sioni ubora wa Chadema kwenye kujenga sera. Mnaweza kupata mvuto bila kubeza mtu, kutukana au kusimangana.
Sio wafanyakazi, Wakulima, Vijana wa mtaani na wasomi waliokosa ajira na kuwa machawa, wafanyabiashara na wachimbaji migodini. Wana kero nyingi mno.
Kama kiongozi kwanza fanyeni tafiti za kina za vyanzo vya matatizo, njia ya kuyakabiri, Jinsi ya kuunganisha makundi yote wawe kitu kimoja. Sio kuwagawa.
Leo wakulima wakilia bei mbovu ya mazao wafanyakazi wanawacheka kuwa ata wao mishahara, Pensheni na vyama vyao vinawaumiza.
MMfanyakazi akilia kikokotoo kibovu mfanyabiashara na mkulima wanaona akishugulikiwa atafaidi bora wateseke kama wao.
Andaeni sera wazi, Unganisheni nguvu. onesheni Jinsi maslahi ya Mfanyakaz yatakavyoinua biashara. Au bei nzuri za mazao zitakavyojenga uchumi vijijini. Na uchumi mzuri vijijini ni maisha mazuri kwa watumishi wa uma uko.
Pia itachochea kilimo na Pato la taifa na Ajira serikalini na Secta binafsi.
Nipe mawasiliano tuandae sera bora ata msiposhinda iwasaidie watakaoshinda kubadili nchi.
Kikubwa muache kukoment vitu kwa hisia. Tuwe focus na Sera na kero zisiwe msingi wa chama.
Chama cha kisiasa uongozwa na sera. Na vvyma vya Kigaidi uongozwa na itikadi na harakati.View attachment 3061284
Nawe subiri kaposho kako naona umetumwa kutumikishwa humu mitandaoni.Tulia TUCTA wale hela zenu wajinga nyie
Pole mwalimuNawe subiri kaposho kako naona umetumwa kutumikishwa humu mitandaoni.
Huyo ndiye yule alikuwa mke wa Dr. Slaa?nshomile takataka, eti mushumbusi
mnaojitambua kwanini mlishindwa kwa dhuluma na mko nje ya Bunge.? Mmefanya nini cha ziada baada ya akina Halima kubaki bungeni.Kwani Amesema uongo
Hawajitambui sio tusi ni ukweli
Ukweli mchungu
Exactlyrelax, usipanic gentleman 🐒
hakuna haja ya kumkebehi wala kumdhihaki mwanainchi kwasabb tu eti hajakuelewa au hakuungi mkono ...
jipange vizuri namna ya kujenga hoja na ushawishi hatimae akubaliane nawe. hii ya kumuita majina ya fedheha itawahenyesha mno katika medani ya siasa na sio ungwana pia 🐒
Inashangaza sana.95% ya walimu wa Tanzania ni wajinga sn
Walimu wa Mkuranga huko wanalazimishwa kujiunga na CCM.Kabali wala usishupaze shingo tu kwa kuwa unatete ujinga, ni dhahiri ktk kada za kiutumishi zisizojitambua na zinazotumiwa na ccm zinazoongiza ni walimu na polisi. Mimi ninao uzoefu wa kutosha miongoni mwa kada hizo matukio na amri vinavyofanywa ktk eneo la kazi ktk kada hizo ni uthibitisho wa kudharauliwa, kupuuzwa na kufanyiwa kama karai ya ujenzi.
Amri na matukio kama hayo haiwezi kuyakuta ktk kada zingine abadani. Mfano Mwl kuamuriwa kulipa mchango wa mwenge, walimu kuitwa na kupewa maelekezo ya kuhakikisha ccm inapita ili wapate madaraja, wakuu kuteuliwa kwa kujiunga na kundi la ccm hata kwa unafiki. Walimu wote wa kituko kulazimishwa kuvunja vipindi na kwenda kupokea kiongozi wa chama au wa serikali asiyehusuana na shughuli za eneo la kituko cha walimu, nk
Ama kwa polisi hukk ndiko maagizo na amri za viongozi wa chama hutekekezwa bila hata huhoji, kujificha.
Haya wewe unayebisha eleza kada nyingine inayofanyiwa mambo haya?
Ama kuhusu kuwataka kura walimu, hili ni takwa la haki kwa walimu na chama husika na haiondoi ukweli wa kuwaambia walimu tatizo lao na kosa lao ktk kujinasua na makucha ili wawe huru ktk ufanyaji kazi zao walau kiasi kama kada zingine.
Jmn hivi mwalim Mpwayungu Village Yuko wapi🤣Kuna wachache wana akili timamu
We kweli una shida mahali. CHADEMA ilishawafukuza akina Halima Mdee, ulitaka wafanye nini Tena?.mnaojitambua kwanini mlishindwa kwa dhuluma na mko nje ya Bunge.? Mmefanya nini cha ziada baada ya akina Halima kubaki bungeni.
Mmekaa mmetulia tu. Mmekosa njia mbadala. Lakini kutwa kuwakebehi walioshindwa kwa kuwekewa vikwazo kama nyinyi.
Cwt imepigwa vibao mnaitukana kuwa haijitambua.
Ila Chadema imepigwa mitama, fimbo na Makonde kwa kuonewa ila kutwa kuwakebehi wenzenu. Kama mmetulizwa swala la akina mdee hamuwezi kuwadhiaki CWT kwa chochote.
Focus kwenye sera za kuinua Taifa sio huu upuuzi. Cwt wametulizwa kama alivyotulizwa Mbowe
Wanaishi kwa hisani ya wajiri wao na siyo sheria, kanuni na taratibuInashangaza sana.
Yupo likizo mkuuJmn hivi mwalim Mpwayungu Village Yuko wapi🤣
Watoke bungeni. Wako kwa jina lao. Wapo na wanasheria nguli wameshindwa nini?...We kweli una shida mahali. CHADEMA ilishawafukuza akina Halima Mdee, ulitaka wafanye nini Tena?.
Kwenye sababu hapo umesahau LAND ALIENATION?😄😄😄😄! Ilitusaidia sana kupata "D" mbili!😄😄😄😄CHADEMA wapo kuvunja vunja hoja, umoja na Malengo ya upinzani.
Wao ni kuponda, kukebei, na kutukana kila anayeshindwa kufanya jambo kama wao wanavyotaka au aliyekosea.
1. CHADEMA wao Wote walifurushwa bungeni kwa nguvu ya dola je nani aliwabeza hahaha.
2. Wabunge wenu Akina mdee mpaka leo wako bungeni. Licha ya maongezi mengi ya Mbowe na Raisi. Je halikuwemo kwenye makubaliano yake?
Sioni yehemu yoyote dira ambayo viongozi wa chadema na sera wanazoamini wakiwafunda wanachama wao zaidi ya kutwa kusubiri kasoro waanze kulalamika.
Mazao yote ya biashara bei hupanda wakati wa uchaguzi.
Kagera walikata Kahawa sababu ya soko duni.
Kahawa ilikuwa buku Bukoba uganda 5000 kilo. Je wangeondoa vipi hayo mambo kisera. Sasa Kagera vijijjini ni umasikini wa kutupwa tanzania hii. Pamoja na hali nzuri ya hewa vijana wanapakimbia kuja kuwa Malaya au vibarua mjini au visiwani.
Kilichofanya nchi nyingi za kiafrika kuchelewa kupata Uhueru ni.
1. Lack of unity
2. Lack of Strong Leadership
3. Lack of fund.
4. Lack of strong Ideology toward Freedom.
Sioni ubora wa Chadema kwenye kujenga sera. Mnaweza kupata mvuto bila kubeza mtu, kutukana au kusimangana.
Sio wafanyakazi, Wakulima, Vijana wa mtaani na wasomi waliokosa ajira na kuwa machawa, wafanyabiashara na wachimbaji migodini. Wana kero nyingi mno.
Kama kiongozi kwanza fanyeni tafiti za kina za vyanzo vya matatizo, njia ya kuyakabiri, Jinsi ya kuunganisha makundi yote wawe kitu kimoja. Sio kuwagawa.
Leo wakulima wakilia bei mbovu ya mazao wafanyakazi wanawacheka kuwa ata wao mishahara, Pensheni na vyama vyao vinawaumiza.
MMfanyakazi akilia kikokotoo kibovu mfanyabiashara na mkulima wanaona akishugulikiwa atafaidi bora wateseke kama wao.
Andaeni sera wazi, Unganisheni nguvu. onesheni Jinsi maslahi ya Mfanyakaz yatakavyoinua biashara. Au bei nzuri za mazao zitakavyojenga uchumi vijijini. Na uchumi mzuri vijijini ni maisha mazuri kwa watumishi wa uma uko.
Pia itachochea kilimo na Pato la taifa na Ajira serikalini na Secta binafsi.
Nipe mawasiliano tuandae sera bora ata msiposhinda iwasaidie watakaoshinda kubadili nchi.
Kikubwa muache kukoment vitu kwa hisia. Tuwe focus na Sera na kero zisiwe msingi wa chama.
Chama cha kisiasa uongozwa na sera. Na vvyma vya Kigaidi uongozwa na itikadi na harakati.View attachment 3061284
Daaaah umetugusa wengi kiongoziMaticha bwana sikuiz wamehamia AVIATOR wamebadilisha profession wamekuwa Marubani, TUWAOMBEE KWAKWELI, aiseee