John Pambalu na Wana-CHADEMA acheni kuwakebei walimu kuwa hawajitambui kisa Mwabukusi nafuu yao kuliko nyie

Naona umeandika jambo lisilo na hoja, umeandika Chadema wamekutukana! Sisi hatukuwepo unatakiwa utueleze hayo matusi yalitokea wapi na kisa na ni matusi yapi. Kuhusu akina Mdee nakushauri kubaliana na uamuzi wa mahakama, Chadema haihusiki na uwepo wao bungeni kwani mahakama ilithibitisha uhalali wa Chadema kuwafukuza.
 
Kwani Amesema uongo
Hawajitambui sio tusi ni ukweli
Ukweli mchungu
mnaojitambua kwanini mlishindwa kwa dhuluma na mko nje ya Bunge.? Mmefanya nini cha ziada baada ya akina Halima kubaki bungeni.

Mmekaa mmetulia tu. Mmekosa njia mbadala. Lakini kutwa kuwakebehi walioshindwa kwa kuwekewa vikwazo kama nyinyi.

Cwt imepigwa vibao mnaitukana kuwa haijitambua.
Ila Chadema imepigwa mitama, fimbo na Makonde kwa kuonewa ila kutwa kuwakebehi wenzenu. Kama mmetulizwa swala la akina mdee hamuwezi kuwadhiaki CWT kwa chochote.

Focus kwenye sera za kuinua Taifa sio huu upuuzi. Cwt wametulizwa kama alivyotulizwa Mbowe
 
E Exactly
 
Walimu wa Mkuranga huko wanalazimishwa kujiunga na CCM.
 
We kweli una shida mahali. CHADEMA ilishawafukuza akina Halima Mdee, ulitaka wafanye nini Tena?.
 
We kweli una shida mahali. CHADEMA ilishawafukuza akina Halima Mdee, ulitaka wafanye nini Tena?.
Watoke bungeni. Wako kwa jina lao. Wapo na wanasheria nguli wameshindwa nini?...
Kama wameshindwa kulisimamia hilo wanapata wapi ujasili wa kiwasimanga walimu wa darasani. Kama mapandikizi ata Chadema wanaishi mpaka wanatoka wenyewe wanapata wapi ujasiri wa kuwakashfu Cwt.

Ukute ata mbowe ni Pandikizi. Kama hawezi kuwaamini ata moja kati ya wenzake awe Mwenyekiti sio Mnyika wala Rema. Sio Tundu wala Wangwe sasa kuna nini hapo?
 
Kwenye sababu hapo umesahau LAND ALIENATION?πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„! Ilitusaidia sana kupata "D" mbili!πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…