Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Watakaokwenda kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wetu watakwenda kwa Amani kama IGP Sirro na Jeshi lake wamejipanga kuvunja watu miguu kwa kuwapiga, na wawapige ili iandikwe kwamba wakati wa utawala wa IGP Sirro watu walifanyiwa unyama wakidai Katiba" John PambaluWatakaokwenda kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wetu watakwenda kwa Amani kama IGP Sirro na Jeshi lake wamejipanga kuvunja watu miguu kwa kuwapiga, na wawapige ili iandikwe kwamba wakati wa utawala wa IGP Sirro watu walifanyiwa unyama wakidai Katiba" John Pambalu
Watakaokwenda kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wetu watakwenda kwa Amani kama IGP Sirro na Jeshi lake wamejipanga kuvunja watu miguu kwa kuwapiga, na wawapige ili iandikwe kwamba wakati wa utawala wa IGP Sirro watu walifanyiwa unyama wakidai Katiba" John Pambalu
Kusikiliza kesi sio kuvunja Sheria.Kama utavunja sheria au katazo la serikali ina maana ww unapanga kupambana na serikali na serikali nayo utaikuta imejiandaa kupambana na wahalifu wote kwahiyo jipange sawa swa kama alivyoimba rose muhando
Hapana ndugu yangu ujue pale mahakamani huwezi kuruhusu watu wotee wajae pale.itakua fujo sasa maana we unadhani pale wanachama wote wa chadema.wajae pale.itakuaje?Kusikiliza kesi sio kuvunja Sheria.
Sirro ndio atavunja Sheria
Apo ndio inapotokea mgongano wa kisheriaKusikiliza kesi sio kuvunja Sheria.
Sirro ndio atavunja Sheria
Sirro na CCM yake ni sikio la kufa.Watakaokwenda kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wetu watakwenda kwa Amani kama IGP Sirro na Jeshi lake wamejipanga kuvunja watu miguu kwa kuwapiga, na wawapige ili iandikwe kwamba wakati wa utawala wa IGP Sirro watu walifanyiwa unyama wakidai Katiba" John Pambalu
Kwa hiyo hawaendi mahakamani kusikiliza kesi bali kwenda kudai katiba!? Sasa hakimu ndiye anamiliki katiba mpaka waidai huko kiasi cha kuwa radhi kuvunjwa miguu!?"...na wawapige ili iandikwe kwamba wakati wa utawala wa IGP Sirro watu walifanyiwa unyama wakidai Katiba..."
WEWE UNAAMBIWA NA SERIKALI USIENDE WEWE UNAENDA INA MAANA UMEDHARAU MAMLAKA UTAPIGWA TUUUUU
Hapana ndugu yangu ujue pale mahakamani huwezi kuruhusu watu wotee wajae pale.itakua fujo sasa maana we unadhani pale wanachama wote wa chadema.wajae pale.itakuaje?
Tatizo lenu ni kufikiria Mbowe ni mwenyekiti wa kuku na si binaadamu (watu) wenye akili. Hakika ni kuwa Ccm haiwezi kuiamulia Cdm nini cha kufanya na wakati gani .WEWE UNAAMBIWA NA SERIKALI USIENDE WEWE UNAENDA INA MAANA UMEDHARAU MAMLAKA UTAPIGWA TUUUUU
siro huenda katumwa na mama houseWatakaokwenda kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wetu watakwenda kwa Amani kama IGP Sirro na Jeshi lake wamejipanga kuvunja watu miguu kwa kuwapiga, na wawapige ili iandikwe kwamba wakati wa utawala wa IGP Sirro watu walifanyiwa unyama wakidai Katiba" John Pambalu
Sirro amekuwa Zirro.Ujumbe umejaa amani, Busara na maarifa kuliko yule wa Bro, Sirro nani anakuandikia press conference zako Bro ? Press conference kama tunaenda vitani na mipasho juu.
Ujumbe umejaa amani, Busara na maarifa kuliko yule wa Bro, Sirro nani anakuandikia press conference zako Bro ? Press conference kama tunaenda vitani na mipasho juu.
Tatizo lenu ni kufikiria Mbowe ni mwenyekiti wa kuku na si binaadamu (watu) wenye akili. Hakika ni kuwa Ccm haiwezi kuiamulia Cdm nini cha kufanya na wakati gani .
Sirro yeye aweke amani. Alinde amani.