John Pambalu: Watakaokwenda kusikiliza kesi ya Mbowe watakwenda kwa amani, kama Sirro amepanga kutupiga na atupige tu

CCM,ccm, CCM nimekwita Mara 3 Ila huamki,amka ndugu Yani amka kumekucha,chakua kilicho chako uondoke.
 
Sasa mbona sielewi hili, Mtu anakesi ya Ugaidi Tena ipo mahakamani wewe badala ukasikilize kesi unaenda kudai katiba mpya


Hawa Watu Buloo Sirro rara nao mbere!!
 
Zero sijui lina roho gani linazeeka likiwa roho mbaya kama sheitwaniii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…