NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Nyoni Onyango Bocco Ntibazonkiza na wazee wengine ndani ya wanalunyasi bado tunawahtaj mwakani tuendelee na kombe letu la mwakarobo cupBaada ya Simba sc kuachana na mchezaji kijana tegemezi wa timu ya Taifa Ghana Agustine Okrah.
Za ndani kabisa ambazo NALIA NGWENA nimezipata kutoka kwa kiongozi wa Simba mwandamizi kanipenyezea kuwa captain Bongo na Erasto Nyoni wapo sana kikosini hapo kama ilivyo kuwa sehemu bila wazee hakuna hekima.
Viongozi wanahitaji sana hekima za Boko na Nyoni kuelekea msimu ujao.
Nawasilisha hoja yangu.
Naunga mkono hojaBaada ya Simba sc kuachana na mchezaji kijana tegemezi wa timu ya Taifa Ghana Agustine Okrah.
Za ndani kabisa ambazo NALIA NGWENA nimezipata kutoka kwa kiongozi wa Simba mwandamizi kanipenyezea kuwa captain Bongo na Erasto Nyoni wapo sana kikosini hapo kama ilivyo kuwa sehemu bila wazee hakuna hekima.
Viongozi wanahitaji sana hekima za Boko na Nyoni kuelekea msimu ujao.
Nawasilisha hoja yangu.
yule nyoni tisha sana eastafrikamasharikinakati kwakweli hakuna km yeye🤣🤣,boko ni goal machine,ni lewandowsk mtupu japo ana binti wa miaka 22 yeye ni 32 tu🤣🤣🤣Baada ya Simba sc kuachana na mchezaji kijana tegemezi wa timu ya Taifa Ghana Agustine Okrah.