John Raphael Bocco na Erasto Nyoni bado wapo sana Simba Sc na mashabiki wa msimbazi wategemee makubwa kutoka kwao

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Baada ya Simba sc kuachana na mchezaji kijana tegemezi wa timu ya Taifa Ghana Agustine Okrah.

Za ndani kabisa ambazo NALIA NGWENA nimezipata kutoka kwa kiongozi wa Simba mwandamizi kanipenyezea kuwa captain Bongo na Erasto Nyoni wapo sana kikosini hapo kama ilivyo kuwa sehemu bila wazee hakuna hekima.

Viongozi wanahitaji sana hekima za Boko na Nyoni kuelekea msimu ujao.

Nawasilisha hoja yangu.
 
Nyoni Onyango Bocco Ntibazonkiza na wazee wengine ndani ya wanalunyasi bado tunawahtaj mwakani tuendelee na kombe letu la mwakarobo cup
 
Banda ndiyo nasikia ameshaachana na simba amefuta na tweeter zake
 
Baada ya Simba sc kuachana na mchezaji kijana tegemezi wa timu ya Taifa Ghana Agustine Okrah.

Za ndani kabisa ambazo NALIA NGWENA nimezipata kutoka kwa kiongozi wa Simba mwandamizi kanipenyezea kuwa captain Bongo na Erasto Nyoni wapo sana kikosini hapo kama ilivyo kuwa sehemu bila wazee hakuna hekima.

Viongozi wanahitaji sana hekima za Boko na Nyoni kuelekea msimu ujao.

Nawasilisha hoja yangu.
Naunga mkono hoja
 
Nimecheka hapo kwenye "sehemu bila kuwa na wazee hakuna hekima"
hewaaa...mtuachie watu wetu walioijenga ngome..
 
Baada ya Simba sc kuachana na mchezaji kijana tegemezi wa timu ya Taifa Ghana Agustine Okrah.

Za ndani kabisa ambazo NALIA NGWENA nimezipata kutoka kwa kiongozi wa Simba mwandamizi kanipenyezea kuwa captain Bongo na Erasto Nyoni wapo sana kikosini hapo kama ilivyo kuwa sehemu bila wazee hakuna hekima.

Viongozi wanahitaji sana hekima za Boko na Nyoni kuelekea msimu ujao.

Nawasilisha hoja yangu.
yule nyoni tisha sana eastafrikamasharikinakati kwakweli hakuna km yeye🤣🤣,boko ni goal machine,ni lewandowsk mtupu japo ana binti wa miaka 22 yeye ni 32 tu🤣🤣🤣
 
Haina shida hata wakibaki kacheza Ibrahimovich AC Milan na miaka 42 sembuse hao. Msimu huu Boko ana goli 9 akiwa miongoni mwa top ten ya wafungaji bora sasa unamuachaje huyu, Nyoni naye huenda kasi tu inaweza kupungua ila ni mlinzi mzuri tu kwa game zisizo na kasi kubwa mwl akifanya rotation
 
Back
Top Bottom