NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Baada ya Simba sc kuachana na mchezaji kijana tegemezi wa timu ya Taifa Ghana Agustine Okrah.
Za ndani kabisa ambazo NALIA NGWENA nimezipata kutoka kwa kiongozi wa Simba mwandamizi kanipenyezea kuwa captain Bongo na Erasto Nyoni wapo sana kikosini hapo kama ilivyo kuwa sehemu bila wazee hakuna hekima.
Viongozi wanahitaji sana hekima za Boko na Nyoni kuelekea msimu ujao.
Nawasilisha hoja yangu.