Pre GE2025 John Shibuda: Niko njiani kuja kuunga mkono maandamano ya Chadema 24/1/2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hata mimi nashangaa hizo 4 R ambazo zinahubiriwa tu ni za propaganda. Vidonda vilivyopo vya watu ambao ndugu zao wamepotea au wameumizwa sioni SSH akishughulikia hilo hata kuahidi tu kuwa halitarudiwa. Matatizo ya SSH yako katika tofauti ya matamko yake na utekelezaji halisi. 4R ni za kujisahihisha. Hizo 4 R zimesahihisha nini? Nani anaona dhamira ya dhati ya kukubali kusahihishwa kwenye hii Miswada ya SSH? Mkae mzungumze nini kama dhamira haipo?
 
JOHN SHIBUDA ADAI RAIS AFIKE KWIMBA KWA TAMBIKO

John Magale Shibuda adai jina Chief Hangaya halitoshi , Ni wakati wa Rais Samia Hassan aende Kwimba akafanyiwe tambiko
View: https://m.youtube.com/watch?v=H_Allw_6FXQ
Chief John Shibuda asisitiza chief Hangaya ana deni kubwa bado hajafanyiwa tambiko kusafishiwa uongozi na utawala wake uwe mweupe kama maziwa katika maeneo ya haki, sheria n.k
 
Ukiona hivyo Shibuda kasahaulika kwenye payroll ya Ccm. Ana beep ili akumbukwe.
 
aah kumbe yeye ana malengo tofauti na nyumbu kwenye maandamano 🐒
 
Nguvu ya uma iheshimiwe!

Vitisho na hofu kwenye haki ya wananchi ni ya nini?
Wakiandama ccm itapungikiwa nini?

Ambia huyo mama kama anakubali maandamano ya kupongezwa na kusifiwa kila kona basi na kuandamana kwa kukosolewa ni sehem ya yeye kijifunza na kufanya marekebisho kwenye uongozi wake.

Let them do their right!
 
Naona shibuda ameanza tena kuwa na akili.
 
Safi, aje kufa vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…