Johnny Innis, Mswahili wa New York

Johnny Innis, Mswahili wa New York

Hawa watu sijui wamejifunza wapi upuuzi wa kuangiana.Hata huyo anayemsema hakutaka kupangiwa.Ikiwa ataka aandikiwe tazia si aandike yeye? Ama shule alienda somea nini?
 
Huyu alizaa na mtanzania alikuwa na mtoto
Wa kike familia yake aliwachukuaga huko US
John mtembezi alikuwa rafiki sana wa mama David na Carol Sharp
Mohamed Said

Ova
 
Torque,
Nilikuwa na picha nyingi za kuchagua lakini nimeipenda hii aliyovaa kofia hiyo ya mkono.
Nilisikia akimnanga DW japo alitia na nifaq kwa uchache Kuna mahali akijifanya kumsifia, huenda ukastaajabu aliandika juu ya kitwana kondo kibaraka wa wakoloni lakini ameshindwa kwa magufuli
Leo kitwana kondo 'KK' anatambulika kama kibaraka wa wakoloni !!..
 
Leo kitwana kondo 'KK' anatambulika kaTama kibaraka wa wakoloni !!..
Abou,
Katika wale wote waliokuwa katika Special Branch na nawajua kwa majina hakuna hata mmoja aliyeasulubiwa na serikali huru ya Tanganyika.

Wote walibakishwa katika kazi ile na wakatumikia serikali huru ya Tanganyika.
Hakuna aliyeonekana kuwa alikuwa kibaraka kwa kuwatumikia Waingereza.
 
Abou,
Katika wale wote waliokuwa katika Special Branch na nawajua kwa majina hakuna hata mmoja aliyeashibiwa na serikali huru ya Tanganyika.

Wote walibakishwa katika kazi ile na wakatumikia serikali huru ya Tanganyika.
Hakuna aliyeonekana kuwa alikuwa kibaraka kwa kuwatumikia Waingereza.
Naam, nimetasema haya baada ya kuona mchango wa mmoja wa wachangiaji akikushambulia kuhusu kuwahi kuandika kuhusu 'KK' huku akimuita kibaraka !
 
Abou,
Katika wale wote waliokuwa katika Special Branch na nawajua kwa majina hakuna hata mmoja aliyeasulubiwa na serikali huru ya Tanganyika.

Wote walibakishwa katika kazi ile na wakatumikia serikali huru ya Tanganyika.
Hakuna aliyeonekana kuwa alikuwa kibaraka kwa kuwatumikia Waingereza.
Kuna ile stori ulishaisimulia kwenye gazeti la raia mwema juu ya wazanzibar walioteswa na special branch chini ya Karume Sr, unaweza kutukumbusha kidogo? Baadhi yao walikimbilia Uk na Germany na kisha kukutana na watesi wao huko ughaibuni.
 
Back
Top Bottom