Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Kiba atakua kageza walichofanya KILAUDS TIGO FIESTA kuingiza watu bureGavana wa Mombasa Ali Hassan Joho Jumatatu, Desemba 31 alidhibitisha urafiki wake wa dhati kwa msanii wa Bongo Ali Kiba kwa kumsaidia baada ya mashabiki kufeli kuhudhuria tamasha yake ya mwaka mpya jijini Mombasa.
Baada ya wananchi kutohudhuria tamasha hiyo iliyoandaliwa katika uwanja wa Mombasa Sports Club, Joho aliwaagiza watu kuingia kwenye tamasha hiyo bure kwa sharti la kutumai vitambulisho vya kama tiketi ya tamasha yenyewe
Source
kiswahili.tuko.co.ke
Sent using Jamii Forums mobile app
Gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho Jumatatu, Desemba 31 alidhibitisha urafiki wake wa dhati kwa msanii wa Bongo Ali Kiba kwa kumsaidia baada ya mashabiki kufeli kuhudhuria tamasha yake ya mwaka mpya jijini Mombasa.
Baada ya wananchi kutohudhuria tamasha hiyo iliyoandaliwa katika uwanja wa Mombasa Sports Club, Joho aliwaagiza watu kuingia kwenye tamasha hiyo bure kwa sharti la kutumai vitambulisho vya kama tiketi ya tamasha yenyewe
Source
kiswahili.tuko.co.ke
Sent using Jamii Forums mobile app
Waliona msanii atakaye perform na kiasi cha kiingilio haviendani ikabidi watose. Walipoambiwa bure wakasema hapo sawa!Kumbe mashabiki walitamani kwenda sema pesa ndio ilikua hakuna... basi wamshukuru bwana Gavanna kwa kuwalipia kiingilio.
Sent using Jamii Forums mobile app
The Tanzanian singer's (Kiba) show that was organised by NRG radio was a huge contrast compared to Diamond Platnumz’ Wasafi Festival concert that had a sold out arena
Wasafi walileta mazoea ya kibongo kwenye nchi za watu
kiba haJAWAHI KUJAZA hata show ifanyike ndaniKuna baadhi ya show Diamond anafanya vizuri tena sana kumpita mbali kiba... Lkn pia kuna show Alikiba anamuacha mbali sana Diamond.. kwa show za mwaka huu Diamond hajafanyo show kali kuishinda hii ya alikiba ya Next door arena...
Ukweli mchungu alikiba anaweza sana hasa katika live show...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo maneno walikuambia wao wenyewe au ni mtazamo wako?Waliona msanii atakaye perform na kiasi cha kiingilio haviendani ikabidi watose. Walipoambiwa bure wakasema hapo sawa!
Sent using Jamii Forums mobile app