Joho aokoa shoo ya Ali kiba baada ya kubuma huko Mombasa

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
Gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho Jumatatu, Desemba 31 alidhibitisha urafiki wake wa dhati kwa msanii wa Bongo Ali Kiba kwa kumsaidia baada ya mashabiki kufeli kuhudhuria tamasha yake ya mwaka mpya jijini Mombasa.

Baada ya wananchi kutohudhuria tamasha hiyo iliyoandaliwa katika uwanja wa Mombasa Sports Club, Joho aliwaagiza watu kuingia kwenye tamasha hiyo bure kwa sharti la kutumai vitambulisho vya kama tiketi ya tamasha yenyewe

Source
kiswahili.tuko.co.ke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora Joho kuliko Bashite

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Kiba atakua kageza walichofanya KILAUDS TIGO FIESTA kuingiza watu bure
 
Gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho Jumatatu, Desemba 31 alidhibitisha urafiki wake wa dhati kwa msanii wa Bongo Ali Kiba kwa kumsaidia baada ya mashabiki kufeli kuhudhuria tamasha yake ya mwaka mpya jijini Mombasa.

Baada ya wananchi kutohudhuria tamasha hiyo iliyoandaliwa katika uwanja wa Mombasa Sports Club, Joho aliwaagiza watu kuingia kwenye tamasha hiyo bure kwa sharti la kutumai vitambulisho vya kama tiketi ya tamasha yenyewe

Source
kiswahili.tuko.co.ke

Sent using Jamii Forums mobile app

mkuu unasema hii au

ona aibu
 
Mkuu hio show joho aliiokoa. Pia wasafi walimharibia kiba kwa show yao mbovu so watu hawakuona haja ya kuharibu pesa zao kwa mara nyingine
The Tanzanian singer's (Kiba) show that was organised by NRG radio was a huge contrast compared to Diamond Platnumz’ Wasafi Festival concert that had a sold out arena
 
Naona hii habari imeletwa kubalance ile ya upande Wa pili
 
Kuna baadhi ya show Diamond anafanya vizuri tena sana kumpita mbali kiba... Lkn pia kuna show Alikiba anamuacha mbali sana Diamond.. kwa show za mwaka huu Diamond hajafanyo show kali kuishinda hii ya alikiba ya Next door arena...
Ukweli mchungu alikiba anaweza sana hasa katika live show...

kiba haJAWAHI KUJAZA hata show ifanyike ndani
 
Kiba hajawahi feli mombasa, joho aliamua kuwalipia kiingilio watu wake kama shukran zake kwao na pia Kufurahia mwaka mpya then yy Akasema ataenda free Kama alivyoalikwa na king acha kupotosha pumbavu this is not the first show of king kiba in mombasa na wote tunajua namna gani huwa inakua +na ushemeji ndo mamamamamamamaaaaaaaaaaaa khatwar nb MANJI PIA ALIWAHI LIPIA MASHABIKI WA YANGA TIKETI NA KISHA WAKAINGIA TAIFA FREE imekaaje hii mwl kashasha?
 
Back
Top Bottom