mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,068
- 6,758
Kwa hiyo Kafrican amekuwa mtanzania na mtu wa CCM ?Halafu kuna kitu huwa sielewi, watu wa CCM mnapenda sana kusifia siasa za upinzani wa Kenya lakini kwenu mnawakandamiza wapinzani. Karibia kila kada wa CCM humu JF anasifia sana upinzani Kenya. Nimesoma sehemu kwamba kinara wa upinzani Tanzania bwana Lowassa mlimkamata na kumsweka jela kule Geita, halafu yule wa Arusha Lema anaozea jela.