JOHO arrested Earlier Today

JOHO arrested Earlier Today

Halafu kuna kitu huwa sielewi, watu wa CCM mnapenda sana kusifia siasa za upinzani wa Kenya lakini kwenu mnawakandamiza wapinzani. Karibia kila kada wa CCM humu JF anasifia sana upinzani Kenya. Nimesoma sehemu kwamba kinara wa upinzani Tanzania bwana Lowassa mlimkamata na kumsweka jela kule Geita, halafu yule wa Arusha Lema anaozea jela.
Kwa hiyo Kafrican amekuwa mtanzania na mtu wa CCM ?
 
Watu wa CCM ni kama Nyumbu, Mwenyekiti wao Rafiki ya Raila basi na wao huko huko
Nyumbu Tanzania wanajulikana, CCM na uchafu wao wote ila sio nyumbu, kuna uhuru wa kufikiria, wale wanaomtukuza Lowasa saivi ndio baada ya kumtukana kwa miaka 10 ndio Nyumbu, wanajijua.
 
Halafu kuna kitu huwa sielewi, watu wa CCM mnapenda sana kusifia siasa za upinzani wa Kenya lakini kwenu mnawakandamiza wapinzani. Karibia kila kada wa CCM humu JF anasifia sana upinzani Kenya. Nimesoma sehemu kwamba kinara wa upinzani Tanzania bwana Lowassa mlimkamata na kumsweka jela kule Geita, halafu yule wa Arusha Lema anaozea jela.
hahaha, ni kwa sababu Odinga ni mtu wa Magufuli
 
Nyumbu Tanzania wanajulikana, CCM na uchafu wao wote ila sio nyumbu, kuna uhuru wa kufikiria, wale wanaomtukuza Lowasa saivi ndio baada ya kumtukana kwa miaka 10 ndio Nyumbu, wanajijua.
Wameijua kweli ikawaweka huru, Lowassa hana ufisadi wowote, na ndio maana ile mahakama haina mtu
 
Back
Top Bottom