mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,068
- 6,758
Kwa hiyo Kafrican amekuwa mtanzania na mtu wa CCM ?Halafu kuna kitu huwa sielewi, watu wa CCM mnapenda sana kusifia siasa za upinzani wa Kenya lakini kwenu mnawakandamiza wapinzani. Karibia kila kada wa CCM humu JF anasifia sana upinzani Kenya. Nimesoma sehemu kwamba kinara wa upinzani Tanzania bwana Lowassa mlimkamata na kumsweka jela kule Geita, halafu yule wa Arusha Lema anaozea jela.
Nyumbu Tanzania wanajulikana, CCM na uchafu wao wote ila sio nyumbu, kuna uhuru wa kufikiria, wale wanaomtukuza Lowasa saivi ndio baada ya kumtukana kwa miaka 10 ndio Nyumbu, wanajijua.Watu wa CCM ni kama Nyumbu, Mwenyekiti wao Rafiki ya Raila basi na wao huko huko
hahaha, ni kwa sababu Odinga ni mtu wa MagufuliHalafu kuna kitu huwa sielewi, watu wa CCM mnapenda sana kusifia siasa za upinzani wa Kenya lakini kwenu mnawakandamiza wapinzani. Karibia kila kada wa CCM humu JF anasifia sana upinzani Kenya. Nimesoma sehemu kwamba kinara wa upinzani Tanzania bwana Lowassa mlimkamata na kumsweka jela kule Geita, halafu yule wa Arusha Lema anaozea jela.
Wameijua kweli ikawaweka huru, Lowassa hana ufisadi wowote, na ndio maana ile mahakama haina mtuNyumbu Tanzania wanajulikana, CCM na uchafu wao wote ila sio nyumbu, kuna uhuru wa kufikiria, wale wanaomtukuza Lowasa saivi ndio baada ya kumtukana kwa miaka 10 ndio Nyumbu, wanajijua.
Usiharibu thread ya watu kwa ajili tu ya kumsafisha fisadi Lowasa, Sammuel999 fukuza hii njemba kwenye thread yako.Wameijua kweli ikawaweka huru, Lowassa hana ufisadi wowote, na ndio maana ile mahakama haina mtu