Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Wapo wajinga wanaoamini join the chain ya Chadema ni jambo la kijinga na kupuuzwa.
Ukweli ni kwamba join the chain ni zaidi ya mpango kazi na ni suala la muda tu tija ya jambo hilo itaonekana wazi.
Faida kubwa ya join the chain ni kukiweka Chadema karibu/jirani na watu jambo ambalo ni zaidi ya mikutano ya hadhara ya kikawaida ya chama cha siasa.
Join the chain itawakutanisha Viongozi na wanachama wao ana kwa ana kila siku huku wakikubaliana mambo kadha wa kadha kwa faida ya chama chao huku wanachama wapya wakipatikana kwalo.
Heko kwenu Chadema hakika join the chain itawarejesha kitaa kwa nguvu kubwa na yenye wingi wa kishindo.
Join the chain ni zaidi ya kukusanya pesa-jiongeze!