Jasho la Damu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 956
- 120
Naomba contact zako nijue mahitaji kwenye ili
Na mimi unicheki
My number ;0712751699
Kwa mkazi wa Dar na mikoa ya jirani aliye tayari tufanye project za uzalishaji wa mazao ya kilimo. Mimi ni mwajariwa wa manispaa mojawapo hapa DSM kama mtaalam wa kilimo lakini kwa sasa nipo Netherland nafanya shahada ya ya pili ya kilimo upande wa greenhouse hort, natarajia kumaliza mwezi Sept 2015. Ningependelea kufanya miradi ya kilimo inayoreflect taaluma yangu pindi nikirudi Tanzania, aliye tayari tunaweza kuwasiliana.
Kuna mwingine alikuja hapa na Tajirika na greenhouse? hajarudi kutoa mrejesho..
Ndo huyu huyu refer maelezo yake!
https://www.jamiiforums.com/ujasiriamali/676888-kwanini-uwe-masikini-tajirika-kwa-kilimo-cha-green-house.html
Kaacha watu na kilio???? hawajatajirika bado
Mkuu heshima kwako. Ungefafanua ungekuwa umetusaidia sana tatizo ni nini tufahamishe ndugu yangu.Kazi ya kilimo na ushirika, mtanipa majibu, sirudii kushirikiana bora nife mwenyewe