Joint project ya kilimo

Joint project ya kilimo

Jasho la Damu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
956
Reaction score
120
Kwa mkazi wa Dar na mikoa ya jirani aliye tayari tufanye project za uzalishaji wa mazao ya kilimo. Mimi ni mwajariwa wa manispaa mojawapo hapa DSM kama mtaalam wa kilimo lakini kwa sasa nipo Netherland nafanya shahada ya ya pili ya kilimo upande wa greenhouse hort, natarajia kumaliza mwezi Sept 2015. Ningependelea kufanya miradi ya kilimo inayoreflect taaluma yangu pindi nikirudi Tanzania, aliye tayari tunaweza kuwasiliana.
 
please contact me on +255 767328063
 
mimi ni mpenzi wa kilimo nilikuwa natamani kupata mtaalam wa horticulture wa kuniongoza tafadha ukirudi nitafute kupitia 0787276498 au 0756552499 mimi ni mkazi wa BUNJU MANISPAA YA KINONDONI nina tractor
 
Huseni na Mavado nimeshachukua namba zenu Ahsanten sana kwa kuitikia wito
 
Nipo Dar napenda kilimo, ukija nitafute kupitia +255 786 743 706.
 
Kwa mkazi wa Dar na mikoa ya jirani aliye tayari tufanye project za uzalishaji wa mazao ya kilimo. Mimi ni mwajariwa wa manispaa mojawapo hapa DSM kama mtaalam wa kilimo lakini kwa sasa nipo Netherland nafanya shahada ya ya pili ya kilimo upande wa greenhouse hort, natarajia kumaliza mwezi Sept 2015. Ningependelea kufanya miradi ya kilimo inayoreflect taaluma yangu pindi nikirudi Tanzania, aliye tayari tunaweza kuwasiliana.

Kuna mwingine alikuja hapa na Tajirika na greenhouse? hajarudi kutoa mrejesho..
 
https://www.jamiiforums.com/ujasiriamali/676888-kwanini-uwe-masikini-tajirika-kwa-kilimo-cha-green-house.html

Kaacha watu na kilio???? hawajatajirika bado

Mkuu unaposema jambo uwe na uhakika nalo huyo unayenihusisha naye anatumia jina la Sanctus Mtsimbe ni JF Tanzanite Member yeye alikuwa anatangaza biashara yake ya Greenhouse na hata namba yake ya simu alitweka hapa JF. mimi sifanyi hivyo na wala sijatoa recommendation za kutumia greenhouse tu bali nataka kufanya miradi ya kilimo kwa pamoja na mtu ambaye yupo interested. Greenhouse horticulture ndio programme nayoisoma kwa sasa nchini uholanz wala sifanyi biashara ya kuuza greenhouse. ukiisoma post yangu between lines utanielewa chukua muda wako kuisoma tena tafadhali
 
Kazi ya kilimo na ushirika, mtanipa majibu, sirudii kushirikiana bora nife mwenyewe
 
Kazi ya kilimo na ushirika, mtanipa majibu, sirudii kushirikiana bora nife mwenyewe
Mkuu heshima kwako. Ungefafanua ungekuwa umetusaidia sana tatizo ni nini tufahamishe ndugu yangu.
 
Thanks kwa posti,mimi naitwa Iddi Haridi muhitimu wa chuo horti tengeru na nimechukua diploma ya horticulture currently nina field ya nnje kwa mwezi june after nitakua free,kwa wa karibu na Arusha niliko then naomba mnipokee kwan ndio muda wa kusaka ajira kilimo binafsi kinahitaji capital,feel free kunipm
 
Back
Top Bottom