Jasho la Damu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 956
- 120
Kwa mkazi wa Dar na mikoa ya jirani aliye tayari tufanye project za uzalishaji wa mazao ya kilimo. Mimi ni mwajariwa wa manispaa mojawapo hapa DSM kama mtaalam wa kilimo lakini kwa sasa nipo Netherland nafanya shahada ya ya pili ya kilimo upande wa greenhouse hort, natarajia kumaliza mwezi Sept 2015. Ningependelea kufanya miradi ya kilimo inayoreflect taaluma yangu pindi nikirudi Tanzania, aliye tayari tunaweza kuwasiliana.