Jojo anazeeka sasa, kweli ujana haudumu

Ni kweli kabisa.

Lakini ukiwa mtu wa mazoezi inasaidia kuchelewesha kuonekana mzee.

Hivi pia kuna ukweli ninyi wanawake huwa mnazeeka haraka kulinganisha na wanaume?
 
Viongoziu wanauchukulia majukumu yao serious na hutumia akili sana wanapokuwa kazini huwa wanachoka haraka sana wakati wale wasiokuwa serious huponda raha sana. Waangalie akina Obama na Clinton alivyo leo uwalinganishe na George Bush. Kiumri Obama ni mdogo kjwa Bush wakati Clinton na Cliunton wana umri unaolingana.
 

Watu wanashindwa kujua hii formula ,ukishajua hii formula utajua jinsi ya kuishi.

Mwenye umri wa miaka 6 anaona wa miaka 10 mkubwa na hata wakianza kucheza uwanjani wanaogopa na kusema hatutaki huyo mkubwa ,na wa 10 anaona wa 15 mkubwa ,wa 15 anaona wa 19 mkubwa ,wa 25 anaona wa 30 mkubwa ,wa 30 anaona wa 35 mkubwa ,wa 35 anaona wa 40 mkubwa ,wa 40 anaona wa 45 mkubwa and list goes on.....Na hata yeye anayemuona jokate mkubwa kuna wengine nao wanamuona yeye mkubwa vile vile(umeongea ukweli sana Sister Nifah).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…