Ni kweli kabisa.Majukumu makubwa yanauchosha mwili unazeeka kwa haraka. Fuatilia Marais wengi wakati wanaingia madarakani mionekano yao na baada ya mwaka mmoja na kuendelea.
Bado ni mrembo lakini na hakuna atakayebaki kijana milele. Hata wewe kuna watu wanakuona umezeeka pia.
Lakini ukiwa mtu wa mazoezi inasaidia kuchelewesha kuonekana mzee.
Hivi pia kuna ukweli ninyi wanawake huwa mnazeeka haraka kulinganisha na wanaume?