Si kwa nia mbayaMh. Jojo akihutubia kikaoni leo katika mkutano wa UWT. Ni kama ameanza kula chumvi sasa! Ujana kweli haudumuView attachment 2927383
Si sawa! Wazee tunaenda na 18-26 mwisho. 26+ ni pasua kichwa ya wazeeSasa zamu yetu wazee.....baada ya purukushani na vijana wenzie......
Mh. Jojo akihutubia kikaoni leo katika mkutano wa UWT. Ni kama ameanza kula chumvi sasa! Ujana kweli haudumuView attachment 2927383
Huyo ndio mzuri mzee mwenzangu unajilia mema yako ya nchi bila purukushani na vijana.......yeye mwenyewe ujana ushamtoka na makunyazi kama yote.......lazima arudishe mpira kwa kipa,.......Si sawa! Wazee tunaenda na 18-26 mwisho. 26+ ni pasua kichwa ya wazee
Wapenda mishangazi huto wasahau.Bado anafaa kwa matumizi, tungoje azeeke tena
Hata mimi nilijua hivyo,maana hii nyimbo ni nyimbo bora ya wakati wote kwanguNikajua Jojo wa Too little too late
Kweli mkuuUjana ni mfupi sana, 18-35 ni kama 17yrs tu, utoto, utu uzima na uzee ndio vina range kubwa.
Kuna mikorogo mibaya sana.Si kwa nia mbaya
Aache kutumia madikodiko anayoyapaka mwilini maana hata mie juzi nilikuwa nashangaa namna alivyoanza kuonesha batiki kwenye ngozi ya uso wake...
Siyo kwamba anazeeka, bali anaporomoka haswaa
Hata bure sichukui
Amekorogeka haswaa. Lawama ziende China wametuharibia Mpango wetu wa Kando wa Taifa. Yaani amekuwa kama mkeka wa ukili wenye patched colorsKuna mikorogo mibaya sana.
Keshakuwa bibi lakini Jokate ni mkubwa kumzidi huyu.Hata huyo age inaenda sasa, sema make up zinawabeba watu wa hii gender
View attachment 2928768
View attachment 2928769
Hahahaha.. Bado ni mrembo mbona nivile siasa hazitaki mbwembwe
Majukumu makubwa yanauchosha mwili unazeeka kwa haraka. Fuatilia Marais wengi wakati wanaingia madarakani mionekano yao na baada ya mwaka mmoja na kuendelea.
Bado ni mrembo lakini na hakuna atakayebaki kijana milele. Hata wewe kuna watu wanakuona umezeeka pia.
, kama una stress utazeeka haraka. Ukiingia kwenye uongozi nji hii stress hazikwepeki.Ni kweli kabisa.
Lakini ukiwa mtu wa mazoezi inasaidia kuchelewesha kuonekana mzee.
Hivi pia kuna ukweli ninyi wanawake huwa mnazeeka haraka kulinganisha na wanaume?