Jojo anazeeka sasa, kweli ujana haudumu

Jojo anazeeka sasa, kweli ujana haudumu

Mh. Jojo akihutubia kikaoni leo katika mkutano wa UWT. Ni kama ameanza kula chumvi sasa! Ujana kweli haudumuView attachment 2927383
Si kwa nia mbaya
Aache kutumia madikodiko anayoyapaka mwilini maana hata mie juzi nilikuwa nashangaa namna alivyoanza kuonesha batiki kwenye ngozi ya uso wake...

Siyo kwamba anazeeka, bali anaporomoka haswaa

Hata bure sichukui
 
Si sawa! Wazee tunaenda na 18-26 mwisho. 26+ ni pasua kichwa ya wazee
Huyo ndio mzuri mzee mwenzangu unajilia mema yako ya nchi bila purukushani na vijana.......yeye mwenyewe ujana ushamtoka na makunyazi kama yote.......lazima arudishe mpira kwa kipa,.......
 
Si kwa nia mbaya
Aache kutumia madikodiko anayoyapaka mwilini maana hata mie juzi nilikuwa nashangaa namna alivyoanza kuonesha batiki kwenye ngozi ya uso wake...

Siyo kwamba anazeeka, bali anaporomoka haswaa

Hata bure sichukui
Kuna mikorogo mibaya sana.
 
Majukumu makubwa yanauchosha mwili unazeeka kwa haraka. Fuatilia Marais wengi wakati wanaingia madarakani mionekano yao na baada ya mwaka mmoja na kuendelea.

Bado ni mrembo lakini na hakuna atakayebaki kijana milele. Hata wewe kuna watu wanakuona umezeeka pia.

Bila hata majukumu. Jokate ni mdada wa makamo wa 38 yrs of age. Bila hata majukumu lazima sura ya ujana iishe na uzee uanze kuja
 
Majukumu ya kiserikali hayo. Angebaki kwenye Instagram tu angekuwa kijana mpaka leo, si mnamwona mwenzake Wema Sepetu ndio kwanza amatimiza miaka 10.
 
Hata upige mazoezi vipi
Ni kweli kabisa.

Lakini ukiwa mtu wa mazoezi inasaidia kuchelewesha kuonekana mzee.

Hivi pia kuna ukweli ninyi wanawake huwa mnazeeka haraka kulinganisha na wanaume?
, kama una stress utazeeka haraka. Ukiingia kwenye uongozi nji hii stress hazikwepeki.
 
Back
Top Bottom