Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
d andy mtangazaji wa clouds tv na radio..
kipindi gani,,,,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
d andy mtangazaji wa clouds tv na radio..
kipindi gani,,,,,
Sasa hiki kimeingiziwa hadi na hasheem, si atakuwa ashavunjwa shingo ya kizazi! Mweeh, urefu ule he he heee
Wanasemaga ukweli hao nyoooo
Alikuwaga kwenye XXL segment ya 255 na Toto request ya jumapili labda abadilishwe kwa sasa ila ndo alianzia kwenye vipindi hvyo.
Jokate Mwegelo yupo single and ready to mingle.. atleast for now. Staa huyo mwenye vipaji lukuki alisema hayo Jumatatu hii kwenye kipindi kipya cha TV1, The One Show anachokiendesha kwa kushirikiana na Ezden Jumanne aka The Rocker.
![]()
theoneshow1Watangazaji wa The One Show, Ezden Jumanne na Jokate Mwegelo Katika kipindi hicho cha kwanza kuoneshwa, watangazaji hao walianza kwa kuhojiana wao kwa wao kwanza na moja ya maswali aliyoulizwa Jokate ni kama yupo kwenye uhusiano wowote wa mapenzi. Jokate ambaye pamoja na kuwa muigizaji wa filamu pia ni muimbaji wa muziki na mjasiriamali, alisema kuwa kwa sasa yupo single lakini haimaanishi kuwa wanaume hawamsumbui kumtaka kimapenzi.Jokate amewahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mchezaji wa basketball wa timu ya Oklahoma City Thunder, Mtanzania Hasheem Thabeet pamoja na uhusiano uliodumu kwa kipindi kifupi na staa wa muziki, Diamond Platnumz.
haya wadau nafasi adimu hiyo tukamte fursa...
i never knew kumbe salasala boy ndo anamchapa yule duu!!King Zizi demu wake ni DAndy wa Clouds Fm
hahaa maana kakanwa hadharani..........
we kwanini umeruka hilo swali au hata jibu ni personal