Jokate adai bado yupo single

Jokate adai bado yupo single

Sasa hiki kimeingiziwa hadi na hasheem, si atakuwa ashavunjwa shingo ya kizazi! Mweeh, urefu ule he he heee
 
Jokate Mwegelo yupo single and ready to mingle.. atleast for now. Staa huyo mwenye vipaji lukuki alisema hayo Jumatatu hii kwenye kipindi kipya cha TV1, ‘The One Show’ anachokiendesha kwa kushirikiana na Ezden Jumanne aka The Rocker.

theoneshow1.jpg


theoneshow1Watangazaji wa The One Show, Ezden Jumanne na Jokate Mwegelo Katika kipindi hicho cha kwanza kuoneshwa, watangazaji hao walianza kwa kuhojiana wao kwa wao kwanza na moja ya maswali aliyoulizwa Jokate ni kama yupo kwenye uhusiano wowote wa mapenzi. Jokate ambaye pamoja na kuwa muigizaji wa filamu pia ni muimbaji wa muziki na mjasiriamali, alisema kuwa kwa sasa yupo single lakini haimaanishi kuwa wanaume hawamsumbui kumtaka kimapenzi.Jokate amewahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mchezaji wa basketball wa timu ya Oklahoma City Thunder, Mtanzania Hasheem Thabeet pamoja na uhusiano uliodumu kwa kipindi kifupi na staa wa muziki, Diamond Platnumz.

haya wadau nafasi adimu hiyo tukamte fursa...

Ukiwa na akili za kushikiwa unaweza kuamini kila kitu wanachokiongea hawa wadudu i hate them to pieces

Kuna mmoja alijigamba kuwa yuko single hana mtu kabisa wakati mshkaji wetu alikuwa anagegeda na kishika uchumba alikuwa keshamtolea! Uchumba ule uliishia pale japo demu alifight mno asibwagwe....!!
 
Back
Top Bottom