Jokate afanya uzinduzi mkubwa wa game lake kwenye Android Playstore (Jokate bottle-spin)

kuna biashara mtu akianzisha hupati tabu kujua target ya soko la mfanyabiashara husika!ila biashara kama hii ni zaidi ya bahati nasibu
 
Hii game bora ingeitwa strip jokate, unavyocheza na kutaka kufikia level nyingine ya kum strip unatoa mpunga, na level ina setiwa so difficult kumstrip na hata ukifanikiwa picha ila last for like five seconds then ina disappear...game lingekuwa more promising
 
mi ningekua jokate ningeuza elf tatu ndala ili ht mtu mwenye kipato cha chini annue

Alishindwa jua kuwa soko lipo mbagala huko na tandale

ndo sehemu ambazo majina yao yanauza na wale hawawez kumudu tsh 15000 watu kama Shigongo wametajirikia kwa hawa watu.
 
kweli kabisa usemayo sasa hyo bei kawatarget mastaa kitu ambacho naona anachemsha
kitu chenyewe ndala ndo 15 niitoe wakati mchina anauza elf 2 na nzuri tu
anatafuta mchawi wakati mchawi y mwenyewe
 
Had saiv she is still looking kwa kitu ambacho kitamtoa ,na kwa vile siyo hizo ndala wala hizo wigs ambazo zimetake off had sasa. yupo right kuendelea kujaribu other ideas.

kujaribu ni kitu kimoja na kufanikiwa ni kitu kingine ila sijui ni kwa nini watu wameichukulia hii negative. mwacheni ajifanyie vitu vyake na ajaribu vingi tu we only live once na huwez jua nini kitamtoa

Anapaswa kuangalia kabla hajaanza......kitendo cha kuanzisha biashara 10 halafu una hama hama inaonyesha jinsi gani alivyokuwa hajajipanga na hajui soko linataka nini.

Kitendo cha kuuza ndala 15 pale ndipo nilipogundua hataki kufanya biashara bali anataka kupiga picha nakuweka IG coz kitu kama ndala uswahilini ndo zinatumika Sana lakin hawawezi kununua kwa bei hyo.
 
Amegundua namna yake ya kutafta kiki ni kwa kujifanya hustler.

so anatafuta tu picha za IG Na ndo maana lounching ya product inabak kuwa maarufu kuliko product yenyewe
 
Yap hajawa tayari kufanya biashara coz hata angeamua afungue ki min super market tu angepata pesa huku akijiandaa kuingia sasa katika biashara haswa.

Naona anatangaza tu brand wakati product ikiwa nzuri itanunulika na itatangaza jina.
 
Anapaswa kuangalia kabla hajaanza......kitendo cha kuanzisha biashara 10 halafu una hama hama inaonyesha jinsi gani alivyokuwa hajajipanga na hajui soko linataka nini.

Kitendo cha kuuza ndala 15 pale ndipo nilipogundua hataki kufanya biashara bali anataka kupiga picha nakuweka IG coz kitu kama ndala uswahilini ndo zinatumika Sana lakin hawawezi kununua kwa bei hyo.

points tupu
 
Back
Top Bottom