Jokate ajibu baada ya Alikiba na mama yake kumkana

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Baada ya kuulizwa kwenye kipindi cha clouds 360 anachukuliaje Ali Kiba na mama yake kumkana kwenye mapokezi ya msanii huyo, mrembo Jokate alijibu "Mimi kila kitu nachukulia positive unaambiwa tenda wema nenda zako, kwanza sitaki kuamini kwamba walimaanisha, labda waliteleza au walikosea script."

Jokate aliongeza yupo single na ameanza kutamani kuwa na mtoto.

 
Kumwacha jokate na kumla seven ni sawa umefaya mtihan wa six ukapata one na ukapewa na std 7 ukapata 0
Seven na Alikiba wanacheza tu mechi za kirafiki na jokate kashtukia hiyo kitu ndo maana kakaa pembeni.
Wala Alikiba hajamuacha jokate
 
Daaah!hivyo hayuko na alikiba tena?
Safi,maamuzi magumu hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…