Jokate ajibu baada ya Alikiba na mama yake kumkana

Hivi ukiwa msanii na maarufu lazima mambo binafsi uyapekenyue hadharani. Kwa nini wasanii wa Kwetu hawamuigi Mwasiti? Huwezi kumsikia Mwasiti akizingumzia masuala yake ya mapenzi hadharani.

Vv
 
Kwan kiba kazungumza.... Just pple ndo husema fuatilia interviews zake kama utaskia anasema kama he is dating with.....
 
jojo kwanza acha kujiita jojo ... pipi jojo ni tamu ila zinalika sana pia,,, your a lady now no longer a girl act like one ... stop hizo drama msimu umepita unatakiwa ujiandae kuwa na drama na mwanao na mumeo ukijaliwa... ... jojo be yourself halafu acha kushoboka kama teenager .. unajua tayari mboro zote mjini hapa size utamu na raha ya kutiwa unajua sasa si mda wa kutiana tena ni muda wa kutiwa kwa malengo sasa.. mastaa hawa si wakuganda ukiona hakufai nduki kuwa mwingine hadi umpate utakaye tulia naye............. kumbuka uzee waja utakuwa maskini pale utakapo shindwa kuacha urithi wako unaoeleweka duniani ukafa ukapotea potea pote ... jojo drama zina mwisho
 
Sisemi mengi huwezi jua yaliyo chini ya uvungu huenda Jokate akawa ndiyo chanzo cha wao kumkana au ndiyo utamu wa bazoka tena hatujui sisi
 
Acheni masihara seven mtoto mzuri nyie kiba hakuwa na namna au mshasahau FA aliiimba

"..na lugha tamu kama ya SEVEN najua mnawaita masista duu....""

Sauti nzuri na sexual attraction ya mrembo yule siwezi kujifuvunga aisee

Najua mtasema "mbaya" but kwenye ulimwengu Wa wakubwa seven ni kama Beyonce au Britney spears kabla hajawa tena akiwa mbichi kabisa[emoji14] [emoji121]

Screenshot_2016-12-30-15-03-32.png
 
Kwan kiba kazungumza.... Just pple ndo husema fuatilia interviews zake kama utaskia anasema kama he is dating with.....
Kazungumza Jokate, lkn hata awe nani kati yao, kuweka hadharani masuala ya ya mahusiano mimi naona ni ujings tu. Bado wanaweza kujifunza kukataa kuzungumzia masuala yao ta mapenzi.

Vv
 
Huyu bint alikua anatafuta kick atrend kwenye vyombo km Kamanda Sepenga ila afanani kabisa na hayo mambo
 
jojo kwanza acha kujiita jojo ... pipi jojo ni tamu ila zinalika sana pia,,, your a lady now no longer a girl act like one ... stop hizo drama msimu umepita unatakiwa ujiandae kuwa na drama na mwanao na mumeo ukijaliwa... ... jojo be yourself halafu acha kushoboka kama teenager .. unajua tayari mboro zote mjini hapa size utamu na raha ya kutiwa unajua sasa si mda wa kutiana tena ni muda wa kutiwa kwa malengo sasa.. mastaa hawa si wakuganda ukiona hakufai nduki kuwa mwingine hadi umpate utakaye tulia naye............. kumbuka uzee waja utakuwa maskini pale utakapo shindwa kuacha urithi wako unaoeleweka duniani ukafa ukapotea potea pote ... jojo drama zina mwisho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nimempoteza mdogo wangu wa kiume mwezi uliopita ila kaja demu wake na mtoto wa wiki mbili tayari tumepata mtoto ambaye dogo langu kaacha urithi basi ndiyo hivyo tena tutamisi ila ukimuona mwanae tutafurahi pia....... sasa huyu demu pamoja na mapesa anayosaka akifa ndiyo tunagawana mpaka wanja baada ya hapo tutamsahahu .. ila akiwa na mtoto tayari hata na mali zake zitaishi
 
Kama mwanaume haeleweki Go ....hakuna haja ya kung'ang'ana nae, achana nae!! Ukijiamini hautaruhusu Tetemeko la moyo liitawale akili yako
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] axnte my nakasikitikia kajojo kanajitahidi kutokuwagawa pasi!!!
Nimeona umesikitika sanaa, unemzidi had jokate mwenyewe.

Hahaha hawa watu wenye majina ya 'j', sjui nini mashida nao, labda Mond ana uzoefu nao umuulize
 
nimempoteza mdogo wangu wa kiume mwezi uliopita ila kaja demu wake na mtoto wa wiki mbili tayari tumepata mtoto ambaye dogo langu kaacha urithi basi ndiyo hivyo tena tutamisi ila ukimuona mwanae tutafurahi pia....... sasa huyu demu pamoja na mapesa anayosaka akifa ndiyo tunagawana mpaka wanja baada ya hapo tutamsahahu .. ila akiwa na mtoto tayari hata na mali zake zitaishi
Kwel miss chagga huyo demu anatiana bila malengo au naye mayai yake alikarangia chips mayai
 
Uyu nae heshima aliyojiwekea kitambo imeanza kushuka ghafla
Jokate ni mjinga, hata kama ni makubaliano, unakuwaje na mpenzi anaye kukana daily!! Hata wema anabadilisha kama nguo lakini hututambulisha watu wake, hata wale wa 2 weeks.
Hapendwi ana jipendekeza
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom