Jokate ajibu baada ya Alikiba na mama yake kumkana

Mpuuzi grade A+ tatizo la hawa wanajiita mastaa uchwara wa nchi hii eti ukiwa staa lazima uwe na mpenzi staa, mtaendelea kuchezeana mpaka mwisho wa dunia, hata mkioana hamdumu kwa sababu wote mnaishi maisha fake sio halisi, pole Jojo
Njoo kwangu uenjoy furaha ya Maisha
 
Seven mosha katika ubora wake, nasubiria vita ya miss chagga na miss ngoni
 
So kama yupo single walimkana nini?
 
Ila kiba kabugi. Mapenzi na kazi ni sawa na mlenda na pilau. Kesho na keshokutwa kazinguana na huyo 7 si ndo kifo cha kibakuli?
 
Mpuuzi grade A+ tatizo la hawa wanajiita mastaa uchwara wa nchi hii eti ukiwa staa lazima uwe na mpenzi staa, mtaendelea kuchezeana mpaka mwisho wa dunia, hata mkioana hamdumu kwa sababu wote mnaishi maisha fake sio halisi, pole Jojo
Njoo kwangu uenjoy furaha ya Maisha

Kwa hili nimeipenda style ya Mwanafalsafa, amejichukulia binti mzuri tu wala hajulikani ameoa. Fikiria angeoa mmoja wa bongo flava au bongo movie.
 
Hahahaha
My lady, its not abot kulelewa its about maturity
Sema wewe una maturity even though naweza kuwa nimekupita maiaka mingi
Ahahaaaa njoo PM unitajie umri wako. Tena uje na cheti cha kuzaliwa og usiwe km bashite [emoji28] [emoji23] [emoji23]
 
Ila kiba kabugi. Mapenzi na kazi ni sawa na mlenda na pilau. Kesho na keshokutwa kazinguana na huyo 7 si ndo kifo cha kibakuli?
Hajabugi kwa kuwa mapenzi yake na 7 ni sehemu ya kazi, so wakigombana wala hawata pata shida
 
Kwa hili nimeipenda style ya Mwanafalsafa, amejichukulia binti mzuri tu wala hajulikani ameoa. Fikiria angeoa mmoja wa bongo flava au bongo movie.
Sky, mi nahisi FA material za wasinii au celebrities alizo kuwa ana zitaka nyngi zilimtolea nje.
Ndio ikabidi arud kitaa kutulia
 
Back
Top Bottom