Jokate ajibu baada ya Alikiba na mama yake kumkana

Jokate ajibu baada ya Alikiba na mama yake kumkana

jojo kwanza acha kujiita jojo ... pipi jojo ni tamu ila zinalika sana pia,,, your a lady now no longer a girl act like one ... stop hizo drama msimu umepita unatakiwa ujiandae kuwa na drama na mwanao na mumeo ukijaliwa... ... jojo be yourself halafu acha kushoboka kama teenager .. unajua tayari mboro zote mjini hapa size utamu na raha ya kutiwa unajua sasa si mda wa kutiana tena ni muda wa kutiwa kwa malengo sasa.. mastaa hawa si wakuganda ukiona hakufai nduki kuwa mwingine hadi umpate utakaye tulia naye............. kumbuka uzee waja utakuwa maskini pale utakapo shindwa kuacha urithi wako unaoeleweka duniani ukafa ukapotea potea pote ... jojo drama zina mwisho
Binafsi nimetokea kumshangaa jojo, maisha ya kurukaruka na kuandikwa kwenye media ni ya kizamani sasa. Anatakiwa awe na malengo atulie apate mwanaume wake.. Umri unaenda fasta. Nikikumbuka enzi zile anaimba kwaya st Peter na haya yanayotokea leo ni tofauti kabisa. Ameshakuwa mtu mzima hakuna asichojua kwenye mapenzi. Anawadisappoint sana wazazi na ndugu zake. Mungu amfungulie awezekujitambua
 
Braza Ali ni narcissist... Kwa mtu asiye na timu ataelewa. Ni tabia tu. Mwenye macho aliona tangu mwanzo
 
Binafsi nimetokea kumshangaa jojo, maisha ya kurukaruka na kuandikwa kwenye media ni ya kizamani sasa. Anatakiwa awe na malengo atulie apate mwanaume wake.. Umri unaenda fasta. Nikikumbuka enzi zile anaimba kwaya st Peter na haya yanayotokea leo ni tofauti kabisa. Ameshakuwa mtu mzima hakuna asichojua kwenye mapenzi. Anawadisappoint sana wazazi na ndugu zake. Mungu amfungulie awezekujitambua
kabisa anahitaji kujitambua basi
 
Hawa wanawake wa siku hizi sijui wana matatizo gani yarabi,eti utawasikia natamani kuzaa au natafuta mtoto! Sasa unatafutaje mtoto wakati hata wa kuzaa nae humjui? Huna mume na unabadilisha wanaumme,huna permanent boy friend huko tu na ukiulizwa relationship unasema ni eti oh is complicated or no strings attached. Mwacheni Kiba awavue chupi hakuna namna nyingine.
 
Madem wenye vina virefu kwenye k zao ni jojo na wema hawa kuolewa kazi wanayo maana kila mpiga mbizi anaogelea, huku yule stylish anamiliki bwawa kubwa la samaki waliochina.
 
Me nashindwa kuwaelewa hawa wasichana wanakaa kugombea mtu na huko foleni ni ndefu kama vipi njooni huku jamani [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Huyo manager hana lolote anamaliza alikiba tu nguvu za kiume ndio maana jukwaani anacheza kama tahira

Warumiiii nimejikuta nacheka kwa sauti. Sijawahi kumsikia Kiba akimtaja Jojo kwamba ni girlfriend wake .Jokate hebu jiongeze binti mwenzio Bushman ana watoto wanne hadi sasa ,kwahiyo anakutumia tu kama lift ya kumsindikiza uzee wake, hana haja ya kuoa , shida kwako wewe usiye na mtoto na umri unaenda
 
Back
Top Bottom