Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
True mkuu na ndicho nimesemea pale juu, wanawake wetu wa miaka hii sijui wapoje na wanaendeshwa na falsafa gani za kimaisha.Hawa wanawake wa siku hizi sijui wana matatizo gani yarabi,eti utawasikia natamani kuzaa au natafuta mtoto! Sasa unatafutaje mtoto wakati hata wa kuzaa nae humjui? Huna mume na unabadilisha wanaumme,huna permanent boy friend huko tu na ukiulizwa relationship unasema ni eti oh is complicated or no strings attached. Mwacheni Kiba awavue chupi hakuna namna nyingine.
Wao wanaamini kuwa maisha ni kufanya kile akili inajisikia na si kwenda na uhalisia wa maisha.
Kitendo cha mwanamke kusema anazaa tu na yeyote anaekuja kwa matakwa yake ni kitendo cha laana na kuzalisha kizazi cha watoto ambao hawana maadili na wenye upotofu juu ya ujenzi wa familia. Haya ni matokeo ya fikra za kimagharibi kuamini chochote kinawezekana ukitaka bila kujali limits za jamii unayoishi.
Ndio maana sikuhizi tuna hadi gays na lesbians kwenye makazi yetu sababu ya mienendo na tabia za wanawake.
Wanawake wajitazame sana wanapoelekea na maamuzi yao.