Jokate ajibu baada ya Alikiba na mama yake kumkana

Jokate ajibu baada ya Alikiba na mama yake kumkana

Ndo maana simpendi Ali Kibakuli, anajisikia sana lakini hana kitu. Sijui angekuwa na fedha na umaarufu wa Diamond ingekuwaje
 
Huyu demu ana miss kitu kimoja tu. KUJITAMBUA baaaasssiiii. Kama unataka kuowa/kuolewa ishi kama mwanaume/ mwanamke anaye taka kuolewa. There is no way unataka kuitwa mke/mume wa mtu alafu kutwa una ruka ruka kama pop corns kwenye zile mashine na pichu yako mkononiii.mam****
 
Kidoti aint deserve such embarrassment[emoji174][emoji174][emoji174][emoji174]
 
Kibakuri is overrated anaendelea kumuiga daimondi kwa swagger za kizamani za kutafuta kiki
 
Mmmh ila Jokate mzuri jamani

Nilikutana nae msasani ni chombo hasa!
 
Aje nimpe mimba kama anataka mtoto.

Baada ya kuulizwa kwenye kipindi cha clouds 360 anachukuliaje Ali Kiba na mama yake kumkana kwenye mapokezi ya msanii huyo, mrembo Jokate alijibu "Mimi kila kitu nachukulia positive unaambiwa tenda wema nenda zako, kwanza sitaki kuamini kwamba walimaanisha, labda waliteleza au walikosea script."

Jokate aliongeza yupo single na ameanza kutamani kuwa na mtoto.

View attachment 476614
 
jojo kwanza acha kujiita jojo ... pipi jojo ni tamu ila zinalika sana pia,,, your a lady now no longer a girl act like one ... stop hizo drama msimu umepita unatakiwa ujiandae kuwa na drama na mwanao na mumeo ukijaliwa... ... jojo be yourself halafu acha kushoboka kama teenager .. unajua tayari mboro zote mjini hapa size utamu na raha ya kutiwa unajua sasa si mda wa kutiana tena ni muda wa kutiwa kwa malengo sasa.. mastaa hawa si wakuganda ukiona hakufai nduki kuwa mwingine hadi umpate utakaye tulia naye............. kumbuka uzee waja utakuwa maskini pale utakapo shindwa kuacha urithi wako unaoeleweka duniani ukafa ukapotea potea pote ... jojo drama zina mwisho
Umetaja ukoo wangu "MBORO YA NG'UMBE" au umemaanisha ile nyama mfupa.
 
Watangazaji wa kike sasa wanaliwa na wanamuziki tu,duh namkumbuka huyu SEVEN M'OSHA alikuwa na Jimmy Kabwe kwenye power breakfast ya clouds ccm.
Ilikuwa gull kucheka,ila kanalikuwa na sauti tamu kama ya yule TAYANA AMRI wa drive home show enzi zileeeeee.
Sasa vibinti vinaporwa na MABIBI.
 
Katumika na kutemwa ila apunguze nyondo, lakini nae hakujua mwenzake alitaka kiki tu.

Manager ake ana enjoy now
We kilaza wa Lumumba njoo urudie haya maneno..😂😂😂😂😂😂
 
Kuna kitu hakipo sawa kuhusu huyu binti. Niliwahi kutazama kipindi alikuwapo nadhani ilikuwa ni EATV. Walikuwa wakizungumzia kuhusu maswala ya wanawake, maendeleo na shughuli zao....

Kwa namna alikuwa anazungumza nilisense ndani ya sauti yake haiba ya ujuaji. Unajua wanaume tunapenda mwanamke anaejua vitu ili awe msaada katika maeneo fulani ya maisha but sio mwanamke ambaye anabehave kuwa ni mjuaji kwa maana ya kutaka kukupanda mwanaume na kuwa juu yako na kuwa aggressive yaani ubishi na kiherehere. Hicho nilikiona na sijajua kwa wanaomjua kiundani but nahisi hiyo ni kitu anayo.

Anauongeaji fulani ambao ni ngumu kumvutia mwanaume labda wanawake wenzake..... Anaongea haraka na kwa sauti fulani ya kulazimisha au kutaka kusikilizwa zaidi badala ya sauti ya kushawishi zaidi.

Nadhani pengine hii ni mojawapo ya sababu kila anapokutana na wanaume wanamuona kama kero baada ya kukaa nae kwa muda.

Pia, sikumbuki nilisoma wapi, but kuna sehemu nilisoma muda mrefu sana ilikuwa ni mahojiano ya kwenye gazeti. Alionyesha kama ni mtu hana opinion nzuri juu ya wanaume yaani ana Toxic Feminism elements. Na ndio maana ukitazama hata kampeni zake kule kisarawe anasema tokomeza zero ila katika matamshi yake anazungumzia mtoto wa kike.

Katika hali ya kawaida ukiona mwanamke anafikia hatua ya kuhama kwa wanaume wengi na baada ya hapo anakuja kusema anatafuta mtoto tu jua wazi shida sio wanaume ni yeye.....

Wanaume wapo wengi sana na kuwapata si kazi kama wanavyojiaminisha kuwa wanaume ni wakorofi ila ukweli ni kwamba wanawake wengi wanakuwa wanaingizia misongo ya mawazo na experience zao za miaka ya nyuma katika mahusiano mapya kila wanapoingia na kujikuta wanawairritate hawa wanaume.
 
Back
Top Bottom