Jokate ajibu baada ya Alikiba na mama yake kumkana

True mkuu na ndicho nimesemea pale juu, wanawake wetu wa miaka hii sijui wapoje na wanaendeshwa na falsafa gani za kimaisha.
Wao wanaamini kuwa maisha ni kufanya kile akili inajisikia na si kwenda na uhalisia wa maisha.

Kitendo cha mwanamke kusema anazaa tu na yeyote anaekuja kwa matakwa yake ni kitendo cha laana na kuzalisha kizazi cha watoto ambao hawana maadili na wenye upotofu juu ya ujenzi wa familia. Haya ni matokeo ya fikra za kimagharibi kuamini chochote kinawezekana ukitaka bila kujali limits za jamii unayoishi.

Ndio maana sikuhizi tuna hadi gays na lesbians kwenye makazi yetu sababu ya mienendo na tabia za wanawake.

Wanawake wajitazame sana wanapoelekea na maamuzi yao.
 
Yeye mwenyewe kama ni strong enough anaweza kumfanya mkaka yeyote mwenye mapenzi mema kwake kuwa mwenye hadhi ya mjini. Hao ready made wanamuumiza moyo tu.
Huyu atakuwa ana toxic elements kwenye mahusiano.
 
Kwa hili nimeipenda style ya Mwanafalsafa, amejichukulia binti mzuri tu wala hajulikani ameoa. Fikiria angeoa mmoja wa bongo flava au bongo movie.
True. Kuna wanawake wazuri sana huko mtaani na hawana majina. Why unahangaika na hawa wasiokaa siku mbili bila skendo.
 
Historia ya washindi wengi wa miss Tz wametusua kimaisha na nyota zao hazifubai kmJacklin, Faraja nk ila ni kinyume kabisa na hawa; Joket na Wema, sijui walikosea step wapi
Hauangalii matendo yao.... Batch ya akina wema kutoka namba moja hadi tano wote walikuwa ni vilaza....
 
Ila wanaume wengine huruma hawana, katoto kama jokate naona kama kametulizana, hana skendo, mtaratibu, mpole, ana sifa zote za kuitwa mwanamke, kiba amezoea magurunyembe that's why, Kidoti mungu atakupa wa aina yako mama
Wewe umehakiki vipi kuwa jokate katulia....?!
 
Katika ja mbo ambalo serikali ilikosea ni kuruhusu importation ya TV wakati akili zetu bado zilikua hazijapevuka, na sasa ndio tuna simu janja ndio jamii inazidi kuharibika.
 
Magufuli kauliza wazaramo mmekwama wapi? Yaani Jokate yupo yupo tu huko Kisarawe nyinyi mnacheza ngoma tu.
 
You nailed it!
 
Na huu ndio uhalisia wake kwa 90%
 
Zamani kule kijijini , mademu kama Jokate tulikuwa tunawaita jamvi la wageni.
Hapa mjini nasikia wanaitwa Mama Huruma
 
Katika ja mbo ambalo serikali ilikosea ni kuruhusu importation ya TV wakati akili zetu bado zilikua hazijapevuka, na sasa ndio tuna simu janja ndio jamii inazidi kuharibika.
Kumbe kuna wakati akili zako huwa zinakaa sawa. Leo umejitahidi kuandika point.
 
Hii nikipost simu ikiwa betri low sio Mimi huyu[emoji1787][emoji1787]

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujuaji+ too much talking + kutokujishusha ni sumu Kali Sana kwa wanawake dhidi ya wanaume Mimi mwenyewe lazima ni rush away kwa mwanamke wa hvo , demu gan mkiwa nae na washkaji unakuwa standby mda wwte anaweza akakurushia neno duuh
 
Munafata nini makaburini ninyi, mutakua wanga si bure
 
Katumika na kutemwa ila apunguze nyondo, lakini nae hakujua mwenzake alitaka kiki tu.

Manager ake ana enjoy now
Haa I 😁😂
Eti Ametuka Amechokwa
Haina Makombo, Wacha Wajilie Ikisuuzwa Na Maji Ni Mpya
 
I second you!
Hivi eti unazaaje tu na kila mtu!?
Yaani Kati ya vitu sivielewi ni pamoja na hili suala!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…