Jokate: Ali Kiba ndiyo nani???

Jokate: Ali Kiba ndiyo nani???

Kila mtu kuna vitu anavipenda kwa mwanamke.hiyo JoJo naona kama mdomo mpana mno,haujabalance.
Afu ukimtizama kiupande ,havutii kama ukimcheki face to face.
Wakati wolper,vile umweke,kiupande,kichwa chini miguu kuu,whatever,anavutia tu.
Figure pia anayo kwa maana ya stake za medium.
Jojo hana sex figure,ninachompendea yeye yuko cool and natural,
Acha utani sasa!....hivi wolper ana shape gani yule mchanaga?

Jojo ana kashepu kazuri na ni mzuri kuliko huyo komba!
 
Hujui tu tulikumisije yaani baada ya kwenda nshapigwa ban km zote hivi

Ilikua ya siku ngapi!![emoji7][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nilikuwa nawaona si unajua mi ni detective Wit!?

Walinibandika la wiki[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kila mtu kuna vitu anavipenda kwa mwanamke.hiyo JoJo naona kama mdomo mpana mno,haujabalance.
Afu ukimtizama kiupande ,havutii kama ukimcheki face to face.
Wakati wolper,vile umweke,kiupande,kichwa chini miguu kuu,whatever,anavutia tu.
Figure pia anayo kwa maana ya stake za medium.
Jojo hana sex figure,ninachompendea yeye yuko cool and natural,
Asante mwl Kashasha kwa uchambuzi 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom