Jokate amerudi tena, ataweza?

Jokate amerudi tena, ataweza?

Chachasteven

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2014
Posts
1,941
Reaction score
2,044
Jokate, mmoja kati ya wanawake waliofanikiwa kutokana na kujihusisha katika nyanja mbalimbali ikiwemo Ujasiliamali, ameweza kutoboa kimaisha baada ya kuingia mkataba na Wachina kwa kampuni yake ya kidoti. Mbali na hapo pia kimziki msanii huyo ameweza kufaulu baada ya kupiga video yake mpya iliyoshinda kwenye Fiesta videos.

Je, Ataweza kumudu cheo hicho?
 
Kwanini unauliza swali kama hilo? kabla hajawa alipo ulijiuliza pia na ukapata jibu ataakua alipo leo.

Mutakie kila la kheri..unataka watu wamseme vibaya ufurahie kuwa atashuka chini....mmmh
 
Yaani hiki kidada kinaforce.....hakana appeal kabisa....

kana identity crisis...hakajajijua bado!

Kana mapepe sijawahi ona,mara hiki mara kile,ilmradi fujo!
 
Back
Top Bottom