Jokate amlipua Diamond

Jokate amlipua Diamond

Kama ni kweli si vizuri. Daimond anatakiwa kupata ushauri wa namna ya kukwepa maswali ya press kama yana ukakasi. Anashindwa nini kusema neno 'no comment'. Zarina where the hell are you? Pleas help!
 
Hivi hiki kidada kinajishughulisha na nini hapa mjini ?????? au ndo wale hadi wavuliwe nguo ?????
 
Yani kweli hujui Jokate ana vitega uchumi gani au hujuinkabisa anafanya nini au unafumbwa na ushabiki ndugu yangu?
 
Walijibu ili wakose pa kumtukania diamond thubutuuu, eti mtu anaona ni bora atukane kwanza baadae atafute ukweli wa habari! Hahahaaa ni aina ya watu waliochanganyikiwa.

Akili ndogo, kajisemea lemutuz
 
Yani kweli hujui Jokate ana vitega uchumi gani au hujuinkabisa anafanya nini au unafumbwa na ushabiki ndugu yangu?
Mi sikajui vizuri haka kadada huna nakasikia tu mara kapita mtu mrefu kuliko wote TZ kwa hiyo kwa sasa katakuwa na korongo hivi ni ya kweli haya???????
 
Jokate ana host tv shows hadi South(cho), kama sijakosea.
Ni mc kwenye events kibao.
Ana kampuni iliingia kwenye mkataba wa mabilioni na wachina miez michache nyuma(kidoti)
Anaimba vizuri tu wimbo wake mpya unaitwa leo leo.
Ana design,Msomi wa chuo kikuu.

Kuhusu korongo ungemuuliza mwanamke yetote kwenye familia yako, nadhani atakua na jibu zuri nadhani pia kwa vile wao ni wanawake afu sio mabikra wana uzoefu.
Dharau mbaya sana.
Kumwita dada wa watu makombo, now unagongelea kuwa ni korongo unadhani ni sifa? La hasha ni ukosefu wa staha na nidhamu kwa wanawake.
Hajakukosea kitu, hajafanya jambo la ajabu kujisafisha.
Ni mzuri sana na ana mafanikio makubwa kiuchumi hata ukimtukana haimpungizii kitu.
 
halafu mtu mwenyew anayemwita kidoti makombo yuko na mwanamke mwenye watoto kibao list ya wanaume alodate nao ni kibao huku cjui ni makombo au ni dampo kabisa dogo yule mswahili sana
 
Jokate ana host tv shows hadi South(cho), kama sijakosea.
Ni mc kwenye events kibao.
Ana kampuni iliingia kwenye mkataba wa mabilioni na wachina miez michache nyuma(kidoti)
Anaimba vizuri tu wimbo wake mpya unaitwa leo leo.
Ana design,Msomi wa chuo kikuu.

Kuhusu korongo ungemuuliza mwanamke yetote kwenye familia yako, nadhani atakua na jibu zuri nadhani pia kwa vile wao ni wanawake afu sio mabikra wana uzoefu.
Dharau mbaya sana.
Kumwita dada wa watu makombo, now unagongelea kuwa ni korongo unadhani ni sifa? La hasha ni ukosefu wa staha na nidhamu kwa wanawake.
Hajakukosea kitu, hajafanya jambo la ajabu kujisafisha.
Ni mzuri sana na ana mafanikio makubwa kiuchumi hata ukimtukana haimpungizii kitu.

Nahisi yatakuwa wamemwingia labda ajichetue
 
Huyu Jokate nae anapenda sana kupayuka,mtoto wa kike nikuka kimnya watu wakuulize yeye kama kamwagiwa U.PU.P.U..
 
Back
Top Bottom