kilimbamula
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,792
- 853
mpuuzi kweli wewe unadhani naongelea tuzo hapo soma kilichoandikwa uelewe sio unaharisha tu. stupid!
Sasa Jokate ana lizwa na nini? Kwani haamini kama Kiba ana mpenda? Hakuna namna nyingine wacha anyooshwe!Ww mleta mada ndo umemlisha maneno hayo, alchokisema yule kdot n kuwa ile clip alirekodiwa na Seth na akairusha kwa Mond bin Laden miaka huyo, so by that time bikira wa kisukuma hakuna na makosa yyte yale alofanya alchotakiwa kukifanya, issue imekuja kwa Mond kuunganisha matukio na kuipost hyp sasa, Joket anajiham ili ali Kiba asijue kama bado anamapemz na kaz za Ex wake dats y kaandika ule waraka, Diamond hana kosa wala bikira mwenye makosa na huyu mdada anaejifanya kuchukia vitu akat aliwah vipenda na records akaweka
Don take it serious...Mbona hakuna ugomvi hapa! lakini mtu akionywa asiposikia hakuna namna nyingine ni kumnyoosha tuu.....Teh Teh
Daa nimecheka sana hii thread yani ni mwendo wa kunyooshwa hakuna namna nyingine...Haaa lawyer umetoa kauli kama ile ya Pinda vile
Mkuu ya Diamond na Jokate sio ya kutilia maanani hawa hawakukutana barabarani...Namkubari sana diamond ila ajaribu kujiepusha na mikwaruzano hasa na watoto wa kike sidhan kama alikuwa na haja ya kuandika hayo maneno.
May be angekuwa positive zaidi kuhusu jokate kucheza wimbo wake ingekuwa poa sana.
Any way hizo league zisizo na msingi sometimes yafaa kuziepuka..
Mkuu ya Diamond na Jokate sio ya kutilia maanani hawa hawakukutana barabarani...
Jokate alishakatwa jina ndio maana ana lia liaAngalia wasije kuwa kama jk na El...
Mpaka 2015 uishe tutashuhudia mengi
mbona bado,,mtanyooka Tu ��
Teh Teh...hakuna namna nyingine ni kunyooshwa maana wameonywa sana..Mtu unaambiwa kuwa Mzalendo na wewe hutaki, UTANYOSHWA tu. HAKUNA NAMNA.
atuendipopote nasema na badopelekeni kwenye jukwaa lenu lile,,hapa tunajadili mambo muhimu ya nchi
kwa iyo nae pia ni mgonjWa
Pelekeni kwenye jukwaa lenu lile,,Hapa tunajadili mambo muhimu ya nchi
Na mimi nasema wanyooshwe tu maana tumechoka sasa (Kidding)
Back to topic Mondi kamkosea sana huyu bibie kwa kumuandika vile lakini nimejiuliza sana,Mondi amepita kwa vibinti vingi y huyu ndo amfanyie hvyo??n not penny o wema e.t.c?kuna tatizo mahala fulani
Hakuna kitu kibaya kama kwenda kugombea tuzo kama zile halafu badala ya kwenda kama taifa moja mnakwenda na tofauti zenu na kuanza kusapoti wapinzani wako wa taifa lingine
Ilikua inamuuma sana Chibu kuona huo muungano wao Kiba+wema+joketi fans wanasapoti kupigia kuta akina Davido na Flavour, ilikua inamuuma sana na ndio maana alipopata tu akatoa dukuduku lake