Jokate asema Bikira wa Kisukuma ni snitch

Jokate asema Bikira wa Kisukuma ni snitch

Ww mleta mada ndo umemlisha maneno hayo, alchokisema yule kdot n kuwa ile clip alirekodiwa na Seth na akairusha kwa Mond bin Laden miaka huyo, so by that time bikira wa kisukuma hakuna na makosa yyte yale alofanya alchotakiwa kukifanya, issue imekuja kwa Mond kuunganisha matukio na kuipost hyp sasa, Joket anajiham ili ali Kiba asijue kama bado anamapemz na kaz za Ex wake dats y kaandika ule waraka, Diamond hana kosa wala bikira mwenye makosa na huyu mdada anaejifanya kuchukia vitu akat aliwah vipenda na records akaweka
Sasa Jokate ana lizwa na nini? Kwani haamini kama Kiba ana mpenda? Hakuna namna nyingine wacha anyooshwe!
 
Namkubari sana diamond ila ajaribu kujiepusha na mikwaruzano hasa na watoto wa kike sidhan kama alikuwa na haja ya kuandika hayo maneno.
May be angekuwa positive zaidi kuhusu jokate kucheza wimbo wake ingekuwa poa sana.
Any way hizo league zisizo na msingi sometimes yafaa kuziepuka..
 
Mkuu ya Diamond na Jokate sio ya kutilia maanani hawa hawakukutana barabarani...
 
Wanawake huwa wanamatatizo mno, kosa anafanya yeye kulia analia yeye!!
Kuishi kinafki kuna taabu sana!
Juu juu zaidi Mondi Platnumzzz
 
  • Thanks
Reactions: me1
japo mi si mpenzi wa haya mambo ila kwa jinsi jokate alivyomjibu diamondi yaani nimeona ana akili sana, ni mstarabu na very intelligent si kama diamond.
diamond kafanya ujinga sana, kuonesha chuki za wazi kabisa insonesha kweli IQ yake nindogo sana yani jana tu kashinda tuzo leo anaanza kukera watu, wakati ni vyema kutoa shukrani hata kiunafiki tu ili status yako iendelee kuwa nzuri...
 
Na mimi nasema wanyooshwe tu maana tumechoka sasa (Kidding)
Back to topic Mondi kamkosea sana huyu bibie kwa kumuandika vile lakini nimejiuliza sana,Mondi amepita kwa vibinti vingi y huyu ndo amfanyie hvyo??n not penny o wema e.t.c?kuna tatizo mahala fulani
 
Hakuna kitu kibaya kama kwenda kugombea tuzo kama zile halafu badala ya kwenda kama taifa moja mnakwenda na tofauti zenu na kuanza kusapoti wapinzani wako wa taifa lingine
Ilikua inamuuma sana Chibu kuona huo muungano wao Kiba+wema+joketi fans wanasapoti kupigia kuta akina Davido na Flavour, ilikua inamuuma sana na ndio maana alipopata tu akatoa dukuduku lake
 
Umekwenda vzr ila hapo ulipowataja hao umewaonea sema team au washabik wao ndo walikua wanasapoti wasanii wa nje. Usiwaonee hao hawajawah kuhamasisha wampigie davido kura.
 
Back
Top Bottom