Jokate asema Bikira wa Kisukuma ni snitch

Jokate asema Bikira wa Kisukuma ni snitch

shameless wanashindwa kutoa hisia zao,now wamekaa na hakuna mwenye habar nao?!
 
He he he mjini ni MTV tu kidoti uswahili unaona sahivi alivyokusifia umepata donge nono la wachina hukusema kitu
 
Na watamyooka tu. Jokate nilikuwa namuheshimu sana, ila alipojiunga na timu sifuri kichwani nikamdharau kabisa.
Ulikuwa unamuheshim kama kaka na dada ama kama shangazi ako au unahc alifanya nin mpaka ukamuheshimu..Je,uliwah kumwambia kama unamrespect..kama ivo bac kaminform back kuwa you no more av respect to her..zingatia haya
 
Na mbaya zaidi hata yule waliyetaka wampe papuchi nae kapata TUZO 1 kama DIAMOND,na jana waliopata TUZO 2 ni P. SQURE tu waliobaki wote ni moja moja

halafu kilichowauma kuliko vyote ni kuona Davido na Diamond wako poa tofauti na walivyozan kwamba kuna bifu, na next month wanaachia collabo teh teh
 
kwani lini kamsapoti? au sapoti ndo hiyo ya kutoa hongera za kinafiki kutafuta public sympathy? NA MTANYOOKA TU!
 
Naona tatizo za kua na uelewa mdogo linaendelea kua kubwa sana Tanzania, najiuliza hivi maana ya neno na mtanyooka tu, linahusiana vipi na yeye kuachana na ali kiba? hapo mwanamke amedhalilishwa kivipi? daaah kumbe kwenda shule na kuelimika ni vitu viwili tofauti...na pia unafiki umezidi kwa jinsi hizo team zao zilivyokua sidhani kama jokate anaweza msapoti diamond...
 
Wazinifu watajuana na wazinifu wenzao.
Maana ndio imekuwa mfumo wa kiki kwa wasaniii.

Na papuchi ingekuwa na Makombo naona watu kama hao wangeshika adabu
 
Kichwa Cha Habari na story iliyomo vitu viwili tofauti. Sasa Jokate anaingiaje hapo?
 
Ww mleta mada ndo umemlisha maneno hayo, alchokisema yule kdot n kuwa ile clip alirekodiwa na Seth na akairusha kwa Mond bin Laden miaka huyo, so by that time bikira wa kisukuma hakuna na makosa yyte yale alofanya alchotakiwa kukifanya, issue imekuja kwa Mond kuunganisha matukio na kuipost hyp sasa, Joket anajiham ili ali Kiba asijue kama bado anamapemz na kaz za Ex wake dats y kaandika ule waraka, Diamond hana kosa wala bikira mwenye makosa na huyu mdada anaejifanya kuchukia vitu akat aliwah vipenda na records akaweka
 
Back
Top Bottom