brave_3
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 1,186
- 705
jamaa umejibu poa sana,unajua watu wamekua kama majuha eti sababu ya timu zao hata mtu wao akikosea wanasema yupo sahihi wakati huohuo wanataka uzalendo,kwan ilikuwa lazima mtoto jojo amsupport jamaa kwa kumpost,au nn yeye pekee ndio alilazimika kumpost chibu, Kikweli mm sijawahi kuona hao jamaa alioowataja wakiaambia watu wampigie kula davido..yaani watu wanahulka kama bado tupo utumwani..
mkuu na ungana na wewe kabisa,ndio mana mpaka leo hatuna jamii bora