Jokate asema Bikira wa Kisukuma ni snitch

Jokate asema Bikira wa Kisukuma ni snitch

jamaa umejibu poa sana,unajua watu wamekua kama majuha eti sababu ya timu zao hata mtu wao akikosea wanasema yupo sahihi wakati huohuo wanataka uzalendo,kwan ilikuwa lazima mtoto jojo amsupport jamaa kwa kumpost,au nn yeye pekee ndio alilazimika kumpost chibu, Kikweli mm sijawahi kuona hao jamaa alioowataja wakiaambia watu wampigie kula davido..yaani watu wanahulka kama bado tupo utumwani..

mkuu na ungana na wewe kabisa,ndio mana mpaka leo hatuna jamii bora
 
kwi kwi kwi...dawa yao ni kunyooshwa tu....na watanyooka...wali overestimate power yao....eti atakosa tuzo sababu yao...
mpaka wawe wapooole au waombe poh
 
Kwan uyu bikira ni nani unaweza nipa sifa zake na picha yake cute b
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom