Jokate: Diamond hana akili timamu

hahasaas mi ka wewe "the car is on the basket*
the tebo iz anda the chair"
 
Diamond ajiepushe kujibishana na hawa wanawake!
 
wewe tu... mbona nishakupa jibu tayari; au unataka nikutafunie kabisa hadi wenye mapengo wakunyang'anye tonge!

we twende tu sinyang'anywi wala nini ila itafahamika tu
 
Duniani tuna watu wa aina tatu, kwanza ni wale wanaofikiri cha kuongea kabla hawajaongea. Pili kuna wale wanaofikiria cha kuongea huku wanaongea, na tatu ndio wale wanao-ongea kwanza kisha ndio huja kufikiria ni nini walichokiongea. Ni vema ukachagua kwa usahihi, unapaswa kuwa kwenye kundi lipi kati ya haya?

Vilevile, ni muhimu kujua unayetaka kuingia naye kwenye maisha yako faragha (hata mapenzi) yuko kwenye kundi lipi kati ya haya matatu, kabla hujafanya maamuzi. Mtu anaweza kuwa na kinywa kikubwa lakini akawa haongei sana siri zake za sasa na zilizopita. Kwa kawaida, mdomo hudhibitiwa na ubongo.
Ova
 
basi akubali bhas alikuwa garlfriend wa chiz
 
What's wrong for Mr.Dangote even if you should detective he was Northing why u have keep trust N.ß Delivery its virtal if you has been thinking creatically.D keep it up 4 way Forward with any awfully matter.

Kaka kama mayai huwezi kuyatapika si uache tu uongee lugha yako!! Ona sasa ulichoandika hakieleweki.. Noumer lugha ya malkia!!lol
 
hahasaas mi ka wewe "the car is on the basket*
the tebo iz anda the chair"

mh! nakuonea gere mwenzangu hadi basi... hiki cha kwako c cha kiinteneshno kabisa hiki? mnh, lakini hapana... kitakua cha inglish midia za uswahilini ndo maana wakati mwingine zinapatia "the" wakati mwingine iz !
 
"Mama joketi mama".haha jamaa anawachapa na mama zao anawataja kwenye nyimbo.
 
What's wrong for Mr.Dangote even if you should detective he was Northing why u have keep trust N.ß Delivery its virtal if you has been thinking creatically.D keep it up 4 way Forward with any awfully matter.
Aisee wamekusimanga hadi basi yaani... lakini nimecheeeeeeeki, nikagundua umejitahidi somo manake maneno yote ni ya kidhungu... anaebisha mwambie akutajie angalau neno moja la kiswahili hapo!
 
Mbona nasikia yule Constantine Magavilla ni shoga? Kuna ukweli wa hili?
 
What's wrong for Mr.Dangote even if you should detective he was Northing why u have keep trust N.ß Delivery its virtal if you has been thinking creatically.D keep it up 4 way Forward with any awfully matter.

Mhhh...sijui labda kingereza changu ni kibovu ila sijaelewa kabisa hapa....ungeandika kiswahili ungeeleweka tu mkuu,hili "yai la malikia" waachie wenyewe
 
hahahhaha umenichekesha sanaaa
 
tupishe apa na wewe , angekuwq hana akili ungemvulia chupi ? we ndo huna akili nfyuuu

mapenzi yanaweza kukufanya ukavua chupi.....lakini kuyaongelea ya chumbani kwenye chombo cha habari.... .hapa kwwli dimondi.....kakosea.......
 
Aahahaa u made my day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…