Jokate: Diamond hana akili timamu

Jokate: Diamond hana akili timamu

Mwenyewe nimetoka kapa hapo lakini sikushangaa manake sie wengine kidhungu chetu ni cha shule za kata sasa nikadhani labda amepiga kiinglish cha inteneshno skulu ndo maana nikatoka kapa!

Huh!! Hakika umenichekesha
 
What's wrong for Mr.Dangote even if you should detective he was Northing why u have keep trust N.ß Delivery its virtal if you has been thinking creatically.D keep it up 4 way Forward with any awfully matter.

Wewe hebu futa hii post maana unashambuliwa kama mwizi na kiingereza chako cha mbagala
 
Kwake yeye hizi ndo akili anazopaswa kuwa nazo mwanamke... kulikuwa na ulazima gani wa kuutangazia umma kwamba anapokuwa na bwana ake chumbani anapenda kukaa uchi... hivi haoni kaka zake akina Constantine wakisoma habari kama hizi involuntarily picha ina-flash vichwani mwao!!!

Hivi hawa wanakuwa na wazazi na ndugu.
 
Lakini ki ukweli Diamond hana akili hata kama mmeachana ndiyo utoe siri kuwa alitoa mimba?
Jokate amepiga dill 8.2 billion atafute mwanaume mwenye upeo aturie siyo kuonjwa onjwa hivyo
 
mapenzi yanaweza kukufanya ukavua chupi.....lakini kuyaongelea ya chumbani kwenye chombo cha habari.... .hapa kwwli dimondi.....kakosea.......

kwani alikuwa hajui kuwa ndomo hana akili? hajiuliz kwa nn watu walimdharaua baada ya kujulikana kagongwa na ndomo? akili kumkichwa...
 
Lakini ki ukweli Diamond hana akili hata kama mmeachana ndiyo utoe siri kuwa alitoa mimba?
Jokate amepiga dill 8.2 billion atafute mwanaume mwenye upeo aturie siyo kuonjwa onjwa hivyo

Ndomo mbayaaaa, wanawake ndo mjifunze kuficha vituntuni vyenu sio kila mwanaume maarufu akipita chupi inalowa mwisho wake ndo huo mnadhalilishwa ovyo , kama wasingempa angepata wapi jeuri ya kuwaongelea vibaya
 
lugha mpya hyo ya mwaka 2015 mwachen bhana, ngoja na mimi nijifunze

Ukisikia sehemu inafunzwa hio lugha basi usisite kuniambia..naamini kwenye huu msemo, kizuri kula na nduguyo???
 
Kiukweli alikosea kusema vileee kabisaaaaa, ,japo wote akili zimekutanaaaaa

Halafu ndio Mume Mtarajiwa wa Zarina ! Vihoja ..Napenda sana kazi za Diamond ...ametutoa sana wa TZ ila kwenye Department ya Mapenzi ni Majanga!kweli hupewi vyote
 
Mwenyewe nimetoka kapa hapo lakini sikushangaa manake sie wengine kidhungu chetu ni cha shule za kata sasa nikadhani labda amepiga kiinglish cha inteneshno skulu ndo maana nikatoka kapa!

hahahahaha
 
Kumuita mtu uliye lala nae kuwa hana akili timamu ni kujidhalilisha tuu!
 
What's wrong for Mr.Dangote even if you should detective he was Northing why u have keep trust N.ß Delivery its virtal if you has been thinking creatically.D keep it up 4 way Forward with any awfully matter.

Sijaelewa ulidhamiria kuandika nini?
 
What's wrong for Mr.Dangote even if you should detective he was Northing why u have keep trust N.ß Delivery its virtal if you has been thinking creatically.D keep it up 4 way Forward with any awfully matter.

Mmmmmh…!!
 
Kuwa mzalendo ongea lugha yako kingereza waachie wenye lugha yao
 
Back
Top Bottom