Yohana Mazengo katufungulia mwaka kwa style ya aina yake aseeh mi nimempenda kwa kweli, inabidi aingie kwenye club yetu ya maubuyu anafaa sana kwa kweli maana itakuwa shidaaa
Thank for the compliment lakini asiye mjinga hawezi kufikiria kwamba, huyo Zari akishakuwa na mimba ndo ataambiwa yeye! Lakini ushauri wangu kwako ni kwamba, kwa mwanaume kutangaza ugumba wa mwanaume mwenzake ni aibu... tena ni aibu kweli kweli! Hebu assume upo kwenye real world umekaa na wanaume na wanawake... hivi mwanaume mzima unaanzaje kusema kwamba mwanaume fulani hana uwezo wa kupiga mimba? Haya mambo tuwaachie watu kama akina geniveros... ambao hata wakisema kwamba fulani hana uwezo wa kupiga mimba, siku wakiambiwa kwamba wapeleke kama hawajipigwa ujauzito, with confidence wanaweza kujibu siwezi kumpa mwanaume asiye na uwezo wa kupiga mimba! Sasa mwanaume kama wewe ukiambiwa kampe kama hajakupiga mimba sijui utajibu nini... matokeo yake utataka kurusha ngumi!!!!
Aliyekuambia ana maradhi ni nani? The guy is only 25/26... kuna wangapi wana umri kama huo tena zaidi ya hapo na hawana watoto? Unataka kuniambia wote hao ni wagumba. Nimewatajia aina ya mademu wa Chibu ambao wote hao hamna hata mwenye mtoto ambao mtu akitaka kutumia ubongo wake sawa sawa mara moja atagundua ni aina ya wanawake ambao akili yao yote ipo kwenye kuponda ujana... kwa sababu haiwezekani mwanamke ambae ameshapita hapa na pale kwa zaidi ya miaka minane kote huko awe hajawahi kupata mimba! Lakini kwa kuwa hobbie yako ni kutangaza madhaifu ya wanaume wenzako ukaacha kuichambua list niliyokutajia ukarukia kwa Zari as if unatembea na kipima ujauzito wa Zari!!!!!Haya mengine ni maradhi kama maradhi mengine na yanatibika.
Haya nenda kaniongezee umaarufu kwa Sintah dot com
Duh! Hapa unajielewa binafsi unachomaanisha.What's wrong for Mr.Dangote even if you should detective he was Northing why u have keep trust N.ß Delivery its virtal if you has been thinking creatically.D keep it up 4 way Forward with any awfully matter.
haaaaaaaaaaaaaaaaaa elfu 20 tu kwa mweziSasa hicho umeandika nini na wewe?! Haaa!! Kiswahili ungeeleweka vzuri ujue. . .. Ras Simbaaaa njoo huku
am so sorry guys when this post my it was on my friend.
Sidhan mm na akil zang niandke k2 ambacho hata mm cjaelewa nn amekiandka dogo.
Am so sorry guys when this post my it was on My friend.
Sidhan mm na akil zang niandke k2 ambacho hata mm cJaelewa nn amekiandka Dogo.
What's the wrong of Diamond
If kuweka ukwel ishakuwa tatzo bas m2 anae kudundulika hana akil ni Kdot coz alimvulia chup that's means she was trust him why Leo amwambie hana akili this iz my Fact.
Am so sorry guys when this post my it was on My friend.
Sidhan mm na akil zang niandke k2 ambacho hata mm cJaelewa nn amekiandka Dogo.
tupishe apa na wewe , angekuwq hana akili ungemvulia chupi ? We ndo huna akili nfyuuu
dogo,yaani uache tu kutumia lugha ya watu..hata ulichoandika hapa hakieleweki vilevile...andika tu kwa lugha yako plz...